Mcheza mieleka na maarufu kwa picha za ngono afariki dunia

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
Mcheza picha za ngono na fundi wa mieleka duniani afariki dunia.Chyna amefariki akiwa na umri wa miaka 45

Meneja wake ameandika katika ukurasa wa Twitter akisema "Ni masikitiko makubwa kutangaza kwamba tumempoteza shujaa.Ataishi na kukumbukwa na sisi mashabiki wake wengi na watu wote waliompenda"

Chyna aliingia katika matumizi makubwa ya dawa za kulevya,na kuna wakati alipelekwa katika clinic maalumu ili kupunguza hali yake ya kutumia madawa hayo.
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    14.8 KB · Views: 631
Alikua maarufu kwa yale mambo ya pwani...ningetupia sema mods wataniua
 
Back
Top Bottom