Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

Khalifa kiumbe moto mpaka leo jina la Immanuel kaini halitofutika kwenye maisha yake.....
Si ni watu wanaojuana. Linafutika vipi. Hata yeye kaini Jina la kiumbe moto haliwezi kufutika. Hii Habari baadhi yenu mnashindwa kuielewa.
Haukuwa uzi wa kumsifu Khalifa kua hapigiki. Hapa tulikua tunakumbushana utaalam wake aliojaliwa. Kwenye pambano unaweza kupoteza ila ujuzi nani mkali? Kaini hakufikia hata nusu ya ujuzi wa kiumbe moto.
 
Naweza kukupa namba ya khalifa au zaidi. Ila zaidi ambae ni mwanafunzi wa khalifa yupo arusha. amepewa kitengo cha kufundisha wana usalama. Khalifa umri umeenda sio sana kwenye kufundisha ila aweza kukupa vijana wake. Mzee mawala pia yupo kwa ushauri
lazima nimtafute huyo
 
Back
Top Bottom