Mcheza bet sasa wako hewani

Ntua

Member
Oct 8, 2015
60
34
Breaking News ;

mCHEZA sasa tupo hewani tembelea tovuti yetu
www.mcheza.co.tz

Jisajili, Cheza, shinda na mCheza,

Nikuanzia jero tu (500/=) Itakuwa poa!!!

Kwa msaada wowote piga 0764 701 600
UNAWEZA PIA KUBET LIVE GAMES
mCHEZA "USHINDI KOTE KOTE"
IMG_0407.jpg
IMG_0414.jpg
IMG_0425.jpg
IMG_0426.jpg
IMG_0429.jpg
IMG_0430.jpg
 
Kipindi cha Kikwete Mabenki yalifunguliwa sana sana, ila sasa yanafungwa.

Kipindi hiki cha Magu makampuni ya betting yanafunguliwa kwa spidi ile ile ya mabenki enzi zile.
 
kuna sehemu nilikuwa nikipita nakuta wazee miaka 70s wanachora mikeka kijiweni.

Wanapeana moyo kinoma...leo chlsea lazima atulishe.

Utafikiri wao ndio watakua uwanjani kufunga magoli. Ndio maana sishabikii timu yoyote. Natizama mpira kama burudani tu nikiubabatiza ila sio kitu cha kuniweka roho juujuu
 
Toka nianze kubet siangalii Mpira kwa raha, nikiangalia game ambayo kuna timu nimeibetia roho yangu juu juu wakat hata hakuna timu ninayoishabikia.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom