lucious_lyon
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 246
- 290
.
Usimpotezee muda Rose mweleze aendelee na maisha yake ukiendelea kuhangaika na vichangu vingine. Usimfanye Rose spea tire mwache akapate mwanaume anayejali, wewe ni pepo humfai.
mwe kama unampenda mrudie
yamekua hayo tena ? rose haachwi sababu ndo amekua akinitibu majeraha yangu japo hajui anatibu nini. namwambiaga kuna mtu kani tapeli pesa zangu.
yamekua hayo tena ? rose haachwi sababu ndo amekua akinitibu majeraha yangu japo hajui anatibu nini. namwambiaga kuna mtu kani tapeli pesa zangu.
Ivi ni Mwanamme Kweli Wewe? Maskini idadi ya wanaume inazidi kupungua Kwa kasii kubwa......
Sijui kwa nini watu wengine wanakuwa wagumu kuchukua mamuzi magumu
Ukute pesa zingine unazompa anampa baba watoto wake.....!!!
Una moyo kulea mwanaume mwenzio na kiumbe chake!!! Unastahili tuzo
yamekua hayo tena ? rose haachwi sababu ndo amekua akinitibu majeraha yangu japo hajui anatibu nini. namwambiaga kuna mtu kani tapeli pesa zangu.
Mrudie kwa mapenzi yotee, siku na saa asiotegemea, mwache ghafla.
Hakikisha it hits her so hard