Mchepuko unavyonitesa part 1

Haa haa haaa... mpaka hapo ushatekwa huchomoki ndugu, kibaya zaidi ni kuwa umezimikia hatarii...we mtu umekamata hadi sms zake na huyo ba watoto wake bado umo tu?!!! Subiri upigwe panga laa takroo sasa maana hamna namna!
 
Usimpotezee muda Rose mweleze aendelee na maisha yake ukiendelea kuhangaika na vichangu vingine. Usimfanye Rose spea tire mwache akapate mwanaume anayejali, wewe ni pepo humfai.
 
Usimpotezee muda Rose mweleze aendelee na maisha yake ukiendelea kuhangaika na vichangu vingine. Usimfanye Rose spea tire mwache akapate mwanaume anayejali, wewe ni pepo humfai.

yamekua hayo tena ? rose haachwi sababu ndo amekua akinitibu majeraha yangu japo hajui anatibu nini. namwambiaga kuna mtu kani tapeli pesa zangu.
 
yamekua hayo tena ? rose haachwi sababu ndo amekua akinitibu majeraha yangu japo hajui anatibu nini. namwambiaga kuna mtu kani tapeli pesa zangu.

Hujakosea kumwambia unatapeliwa, sema hujamwambia Rose umetapeliwa vipi.
 
Yaan unachoomba hapa sikielewi..., kuna watu wengine bhana cjui unaakili za kushikiwa nn,? .. nakushauli endelea nae si ameomba msamaha bhana...
 
Ukute pesa zingine unazompa anampa baba watoto wake.....!!!
Una moyo kulea mwanaume mwenzio na kiumbe chake!!! Unastahili tuzo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom