Mchepuko alivyobadilisha maisha yangu

Na asipokua makini mwisho wa siku atajikuta yuko mwenyew na ndoa zote kashaharibu wamemkimbia aanze upya.

Inabidi apate lile somo la kuishi nasi kwa akili😃, msaidieni mwenzenu kabla hajaangamia
Hahahaha yeye akili ameona awaweke wote pete ili ale mema ya nchi! Sema naaminigi kitu kimoja, ukimpenda mwanamke flani utakuwa nae vizuri ila ukiona umeanza kuchepuka tu jua kuna walakini utakuwa umeshajitokeza mathalani mke hakupi huduma stahiki au amejisahau!

Mwanamke akiwa anatekeleza wajibu wa mke by 100% basi jua kwamba hutakaa uwaze mchepuko hata kidogo!
 
Yaani maamuzi yako yawe influenced na matendo ya mtu mwingine?

Probably utakuwa haujitambui.
 
Hahahaha yeye akili ameona awaweke wote pete ili ale mema ya nchi! Sema naaminigi kitu kimoja, ukimpenda mwanamke flani utakuwa nae vizuri ila ukiona umeanza kuchepuka tu jua kuna walakini utakuwa umeshajitokeza mathalani mke hakupi huduma stahiki au amejisahau!

Mwanamke akiwa anatekeleza wajibu wa mke by 100% basi jua kwamba hutakaa uwaze mchepuko hata kidogo!
Kuna wanaume wanapewa vyote na wake zao still wanachepuka, wengine ni tamaa zao tu na ujinga wao.

Sasa mtu mke wake mjamzito badala muda huo awe karibu nae anaanza kuhangaika na wanawake wa nje hadi kuwaza kuoa. Badala ale kimya kimya atulie ye anataka kujiongezea msalaba mwingine
 
Dah ila ku deal na ujauzito sio poa yani😂 kushinda njaa muda wote huo ni balaa na nusu!
 
Umenena ukweli mno humu ila pia huyo mtoto wa kike nae ana balaa sana! Yani binti wa kichaga huwa wanafunzwa ku manipulate wanaume toka kwa mama zao yeye mtoa mada anaona anapendwa sana eti!

Mwanamke akiwa anataka lake atakuwa malaika mbona utahisi ulichelewa kumfahamu! Ngoja alipate sasa atawavuruga ni balaa
Hahaha!! Wanawake wa mjini wajanja sana, na ndiyo maana wanawateka wanaume sana. Unajua mkuu wanaume wanapenda wanawake submissive na michepuko ndiyo hutembelea hukohuko. Wewe unaamini unapendwa lakini kumbe mtu ameshajua unataka, kuja kushtuka ushatekwa mazima, ndiyo unakuta mtu mzima analia.😃😃
 
Eeh wanawake wajanja wanajua hilo yani! Anajua akijilegeza kwako utaloa mapema sana yani unakuwa mteke.

Hiki kitu watoto wa kichaga wamefunzwa na mama zao sana hasa mwanaume akiwa na hela wee usipime yani. Utalambwa miguu na kupewa K kama yote,,, hapo jua inatafutwa ndoa na mamlaka ya mke yani! Yakipatikana wanaanza kuvuna kuhamishia mali kwao huko! Mara ujenzi,mara sijui kitu gani mme anatokwa hela tu ukijimix na lile penzi huoni mbele ukija stuka umeisha!
 
Kulea sio tatizo, ishu inakuja ni kwamba kuvumilia genye for 9 mos ni kisanga!

Labda kama mke yupo engaged na wewe hata kipindi cha ujauzito! Ila kama hayupo engaged ni lazma utafte pa kuponea.
Ila kwenye kiapo cha ndoa si kuna kipengele cha kuvumiliana kwa kila hali?
Wengine complications za mimba zinafanya asiweze kukutana na mumewe.

Unavumilia tu, maana hata ukioa huyo mpya nae atapata mimba, mtaoa wangapi sasa😅
 
Inakua hivi, ukisikia tu deodorant au aftershave ya hubby unatapika. Ukiuona uso wake ile harufu ya aftershave inakuja akilini.
 
Ila kwenye kiapo cha ndoa si kuna kipengele cha kuvumiliana kwa kila hali?
Wengine complications za mimba zinafanya asiweze kukutana na mumewe.

Unavumilia tu, maana hata ukioa huyo mpya nae atapata mimba, mtaoa wangapi sasa😅
Ishi sio kuoa, ni kupooza rejeta tu mkuu😂 ndo maana kuna michepuko
 
Back
Top Bottom