Mchelea mwana kulia, hulia yeye. Tulimsifu kwa nyimbo na mapambio mwanetu, leo tunalia

Mimi nawashangaa mnabwabwaja humu kama mmefungwa mikia. Hawa wazungu hawanaga kazi za kufanya hivyo lazima wajidai wapo busy hata ukijamba tuu wanaweka kikao, ukijinyea wanaweka vikao. Kuna nchi mbaya mara million mia moja kuliko Tz na hakuna walichowahi kufanya. Swali rahisi tuu, Mugabe walimfanya nini na alichukua mashamba yao, Cuba je, Venezuela je, Syria je nk nk.
Watu waoga waoga kama vile hamjaenda jando, vp bwana. Jiulizeni tuu kama huo ujinga mnaoushabikia ungekuwa unafanya kazi nchi zote saa hizi zingeshakuwa zimefyata mikia, hata Ulaya tuu kuna nchi karibia zote za East Europe hazifuati mfumo wa kidemkrasia na wala hao EU hawajambi wala nini. Kama zari na liwe zari, kwani nini bwana??? Nadhani kina Mkwawa wanakaribia kupasuka huko waliko wakiangalia vijisichana walivyowaachia nchi.
 
Back
Top Bottom