Mchele Shilingi Elfu kumi kilo tatu!! Kikwete uko wapi?

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
May 15, 2009
7,320
6,806
Jamani mwenzenu, nimepatikana wiki hii.
Mchele jamani, ukitoa shilingi elfu kumi unapata kilo tatu tuu!!!!
Sasa hivi kilo moja sh 2700 hadi 3000!!!!!! .....nchii imefikaje mahali hapa tutawalishaje watoto wetu? ilhali vipato vyetu vifinyu?

Hivi tuna raisi kweli? anajua mambo haya?.....au anadanganywa? taarifa sahihi za maisha haambiwi na wasaidizi wake?
Hivi matatizo yetu watanzania inamaana hayamhusu raisi wetu??.............
..............ndiyo maana anaitwa kichwa cha nanihii, kwa kufumbia macho matatizo ya wananchi!
 
...pole bwana. Hayamuusu hayo, ni upepo tu. Utapita japo utapita na wengi. Mpaka anaondoka kutakuwa na majiri wachache walipindukia na maskini wengi mno.
 
Wakulima nao wameamua.
Jibu analo waziri wa kilimo, atuambie kazi yake nini na yuko wapi ndo maana Kikwete alimweka kuhakikisha watanzania wanakula na kushiba.
 
Jamani mwenzenu, nimepatikana wiki hii.
Mchele jamani, ukitoa shilingi elfu kumi unapata kilo tatu tuu!!!!
Sasa hivi kilo moja sh 2700 hadi 3000!!!!!! .....nchii imefikaje mahali hapa tutawalishaje watoto wetu? ilhali vipato vyetu vifinyu?

Hivi tuna raisi kweli? anajua mambo haya?.....au anadanganywa? taarifa sahihi za maisha haambiwi na wasaidizi wake?
Hivi matatizo yetu watanzania inamaana hayamhusu raisi wetu??.............
..............ndiyo maana naitwa kichwa cha nanihii, kwa kufumbia macho matatizo ya wananchi!
Pole sana mkuu lakini acha iendelee kupanda ili siku tukienda kupiga kura tujue na kulinda pia na siyo kupiga na kwenda shambani au bar....ina sikitisha sana lakini
 
Wakulima nao wameamua.
Jibu analo waziri wa kilimo, atuambie kazi yake nini na yuko wapi ndo maana Kikwete alimweka kuhakikisha watanzania wanakula na kushiba.

Kwani yeye ndondocha!! anachagua mawaziri then analala?
 
Kwa mwendo huu wa bei za vitu kupaa kila siku kwa hakika serikali hii italazimika kutoa noti ya shilingi 20,000 karibuni!
 
Haimuhusu..Hatumii iyo meein..yake direct from thailand,kitu kimenyoooka..tena buree na makontena Wabongo soli zitaishia magengeni na K/koo
 
Ukekuwa mkulima wa mpunga hiyo bei ingekunufaisha na ungeifurahia.Je ungempongeza raisi(Kikwete) au ungewahurumia walaji wanaonunua?
 
Jana kuna jamaa mmoja rafiki yangu, ameniambia kuwa sasa hivi kula wali nyumbani kwake ni anasa...tuna mabonde chungu tele...ni kweli tumefikia hali hii? Kilimo kwanza ndio hiki cha mchele kilo moja buku tatu???

Hakika natamani Rais afe!
 
Ukekuwa mkulima wa mpunga hiyo bei ingekunufaisha na ungeifurahia.Je ungempongeza raisi(Kikwete) au ungewahurumia walaji wanaonunua?

Acheni upuuzi kwenye mambo ya muhimu!!!!

Nenda Sehemu zote wanazolima mpunga tanzania hii, niambia mkulima gani amenufaika???

Unatumika humu kusifia ujinga? tuna jua mpo mnaolipwa kwa fedha za wavuja jasho wa TZ kwa ujuha huu...

Huna huruma kabisa na wanachi kwa kujikomba kwa watawala!! una roho mbaya sana wewe!.....

....
 
Mbona huku kwetu Kigogo Luhanga bado tunanunua mchele Buku Jero tu.........................!
Au mwenzetu unakaa Mikocheni au Masaki nini........?
 
Jamani mwenzenu, nimepatikana wiki hii.
Mchele jamani, ukitoa shilingi elfu kumi unapata kilo tatu tuu!!!!
Sasa hivi kilo moja sh 2700 hadi 3000!!!!!! .....nchii imefikaje mahali hapa tutawalishaje watoto wetu? ilhali vipato vyetu vifinyu?

Hivi tuna raisi kweli? anajua mambo haya?.....au anadanganywa? taarifa sahihi za maisha haambiwi na wasaidizi wake?
Hivi matatizo yetu watanzania inamaana hayamhusu raisi wetu??.............
..............ndiyo maana anaitwa kichwa cha nanihii, kwa kufumbia macho matatizo ya wananchi!

mi natamani kilo ifike 10,000 na mshahara wa polisi usipande ili tunapolinda kura waelewe tunafanya nini na wasitupulize na maji ya kuwashawasha
 
acha tu maji ya klm 2likua 2nanunua sh700 sasa 1500 na maji ya uhai lita6 ilikua sh1200 sasa 2500 hii ndio nguvu mpya na kasi ya upandaje bei 50% per annum safi jl
 
Mkuu JK yupo magogoni anapanga upya baraza la mawaziri, hajui bei ya mchele kama imefika 2,700 na mafuta 2,315

Akimaliza kupanga baraza hilo labda atajua maana hali si hali tena.
 
mi natamani kilo ifike 10,000 na mshahara wa polisi usipande ili tunapolinda kura waelewe tunafanya nini na wasitupulize na maji ya kuwashawasha

Kumbe polisi ni kikwazo kikubwa sana cha demokrasia!!!! Mpaka wanaombewa njaa kiasi hiki!!!!!
 
hawa jamaa sijui huwa wanatumia nini kufikiri, hali ya maisha ngumu, tukijaribu kuleta mabadiliko ambayo kimsingi wao wanayahitaji zaidi kuliko sisi tuliojiriwa kwenye mabenki afu unakuta wanatumwagia maji ya u.pupu na mabomu ya machozi, sisi tunateseka lakini wao (mapolisi) wanateseka zaidi, wacha cha moto wakione, hadi watopata akili
 
Sijui kama Rais anajua haya matatizo kwanza milo yake mingi Ngurudoto akiwa nyumbani zilizobaki ni nje!
 
Mbona huku kwetu Kigogo Luhanga bado tunanunua mchele Buku Jero tu.........................!
Au mwenzetu unakaa Mikocheni au Masaki nini........?

Baba mtambuzi, pole kwa kazi ngumu.

Ni kweli maeneo haya Uwanja wa fisi, tandika kule ndani kunaweza kuwa na bei kama hizo unazo taja....maana huko

hata bei za nyama huko ni bei poa, lakini ni za aina gani?

Lkn angalieni ubora wa huo mchele, isije ikawa ni ile amabayo haifai kwa matumizi ya binadamu....!!

Kesho panda basi la kwenda kariakoo kaulize bei yake, nenda na kwenye masoko mengine kaulize we si mtambuzi

bwana! nenda then uje utuamabie......then usiishie hapo nenda madukanai kwenye maeneo kama tabata, sinza

nk......tujuze pia..
 
Back
Top Bottom