Mchele mzuri kabisa pamoja na mafuta ya kupikia ya alizeti yanapatikana

Hi guys,

Kwa mchele mzuri kabisa, ambao ukipika kiubwabwa chako kwanza kinakuwa kitamu pili kinanukia mpaka mtaa wa 7 huko, usisite kutuagiza, bei inaanzia 1500/= tu kwa kilo moja.

Pia tuna mafuta safi na khalisi kabisa ya alizeti Lita 3 kwa tsh. 17,000/= na Lita 5 kwa tsh. 28,000/= tu za kitanzania.

Tupo Dar es Salaam - Kinyerezi, kwa mawasiliano zaidi tutafute kwa namba 0744-302922, 0688-115131 pia tunapatikana kwa watsap namba 0718-072707,

Delivery mpaka mlangoni kwako inapatikana kwa uaminifu mkubwa kabisa.

NB; Kama huamini kama mchele ni mzuri, nakuja kukupikia huo ubwabwa Mimi mwenyewe walaqhi'

Karibuni sana sana.

View attachment 1984781View attachment 1984782View attachment 1984784
Nakuja hapo j5 nikute Mchele mzuri kama mdomo wako hapo imeisha hiyo
 
Karibuni sana wapendwa wangu, na ambao mmeendelea kutoa oda zenu Mungu awabariki sana..!
 
Wapendwa wangu karibuni sana, tusisahau ni kale ka msimu ketu pendwa ka sikukuu..!!
 
Back
Top Bottom