Mchele Kitumbo wa American Supermarket

mamee

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
237
82
Asante sana Manji kwa kutuletea Supermarket bomba kabisa, ila one thing is aisee ule mchele kitumbo wa nyongeza hapana kabisa.

Unaiharibia kabisa, nafikiri umeweka jina zuri na ukaamua kutoa offer ila sio kwa kitu kile tafadhali .
 
Back
Top Bottom