Mcheki mwanamke aliejazia kuliko wanaume wengi duniani !

mathematics

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
3,323
1,105
attachment.php

Inavyosemekana Huyu ndiye mwanamke mwenye misuli mikubwa zaidi ya wanaume wengi duniani kwa ajili ya mazoezi yake anayoyafanya yamempelekea kuwa hivyo alivyo na yeye mwenyewe anasema anapenda kuwa hivyo na hata ikibidi zaidi ya hapo, yaani anafanya mazoezi sana kwa sasa ili azidi kuwa na mwili mkubwa zaidi ya hapo...je unamzungumziaje huyu?
 
View attachment 56752

[video]http://www.worldstarhiphop.com/videos/video.php?v=wshhNpb7p65KZNdO13 k4[/video]
[video]<object width="448" height="374">

<embed height="374" type="application/x-shockwave-flash" width="448" src="http://www.worldstarhiphop.com/videos/e/16711680/wshhNpb7p65KZNdO13k4" allowfullscreen="true"></object>[/video]

Inavyosemekana Huyu ndiye mwanamke mwenye misuli mikubwa zaidi ya wanaume wengi duniani kwa ajili ya mazoezi yake anayoyafanya yamempelekea kuwa hivyo alivyo na yeye mwenyewe anasema anapenda kuwa hivyo na hata ikibidi zaidi ya hapo, yaani anafanya mazoezi sana kwa sasa ili azidi kuwa na mwili mkubwa zaidi ya hapo...je unamzungumziaje huyu?
Natafuta mwanamke wa kuoa, nadhani atanifaa sana. Tazama picha yangu hapo juu.
 
Hayo maziwa silicon, ukiwa bouncer kama hayo lazima manyonyo yasinyae.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom