mcheki mcheki mcheki!!!!

Elijah

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,663
415
mcheki,mcheki,mcheki...!!Unatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango,kazi kukodolea maandishi tu,muone kwanza
 
mcheki,mcheki,mcheki...!!Unatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango,kazi kukodolea maandishi tu,muone kwanza

mcheki! Mcheki muonekano
wa sura lako ka furushi la m*vi kwenye rambo!!
Miguu miembamba ka unatembelea mikono kama sio mazingaombwe ni nini?
 
Mmekomaa hadi mkitema mate yanadunda, namuita Mentor hapa sasa hivi tuone kama atabaki mtu
 
Last edited by a moderator:
Twende twende twende,macho makubwa kama unachambua mchele,ulizaliwa bar ukaitwa tusker..twende twende...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom