Elijah JF-Expert Member May 28, 2012 1,663 416 Nov 30, 2012 #1 mcheki,mcheki,mcheki...!!Unatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango,kazi kukodolea maandishi tu,muone kwanza
mcheki,mcheki,mcheki...!!Unatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango,kazi kukodolea maandishi tu,muone kwanza
Elijah JF-Expert Member May 28, 2012 1,663 416 Nov 30, 2012 Thread starter #3 hahaah,nyama ya nyongeza inakuwaje??? charger said: Mashavu kama nyama ya nyongeza! Click to expand...
hahaah,nyama ya nyongeza inakuwaje??? charger said: Mashavu kama nyama ya nyongeza! Click to expand...
Elijah JF-Expert Member May 28, 2012 1,663 416 Nov 30, 2012 Thread starter #4 mashavu kama mimba ya panya
Gody JF-Expert Member Apr 16, 2010 1,246 411 Nov 30, 2012 #5 pono said: mcheki,mcheki,mcheki...!!Unatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango,kazi kukodolea maandishi tu,muone kwanza Click to expand... mcheki! Mcheki muonekano wa sura lako ka furushi la m*vi kwenye rambo!! Miguu miembamba ka unatembelea mikono kama sio mazingaombwe ni nini?
pono said: mcheki,mcheki,mcheki...!!Unatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango,kazi kukodolea maandishi tu,muone kwanza Click to expand... mcheki! Mcheki muonekano wa sura lako ka furushi la m*vi kwenye rambo!! Miguu miembamba ka unatembelea mikono kama sio mazingaombwe ni nini?
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Nov 30, 2012 #7 Mmekomaa hadi mkitema mate yanadunda, namuita Mentor hapa sasa hivi tuone kama atabaki mtu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Oct 28, 2009 807 366 Nov 30, 2012 #8 Domo kubwa unakula maandazi kama karanga! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Perry JF-Expert Member Feb 24, 2011 10,043 2,000 Dec 1, 2012 #11 Twende twende twende,macho makubwa kama unachambua mchele,ulizaliwa bar ukaitwa tusker..twende twende...
Twende twende twende,macho makubwa kama unachambua mchele,ulizaliwa bar ukaitwa tusker..twende twende...
Scofied JF-Expert Member Jun 5, 2012 2,455 1,657 Dec 1, 2012 #12 Mat..a ko juu juu ka sister wakimbulu....