Mchekeshaji wa comedi kipindi cha star tv futuhi sharobaro wa kihaya acha kujichubua wewe ni mwanaume ujue

Hii picha ya zamani alipoanza hayo mambo wee mtizame kwa sasa utagundua
Mtani unaniaibisha sasa, hapo kwenye picha anaonekana kajichuna?
Au tunachangia tu ili mradi?
.
Tatizo la hiyo picha ni kulegeza kwake macho tu na uskute ndivyo alivyo, mtazame Swicha baba (Quick racka) ana macho mazuri kuliko Irene Uwoya ukibahatika kumuona hajavaa miwani njoo ulete ushuhuda useme anajirembulisha au ndo alivyo
 
Kama umitaka tafuta kipindi chao cha jana tizama alivyokuwa leta mrejesho hapa
Yani ndivyo alivyo huyo tena ni mweupe zaidi hiyo screenshot imemzurumu mtani.
.
Kuchangia ili mradi ni kila mtu anaunga mkono hoja ya wa stendi kwamba kajichubua ilihali hamumjui mtani wengine tunamjua way back uliza wakazi wa butimba
 
Back
Top Bottom