Mchekeshaji wa comedi kipindi cha star tv futuhi sharobaro wa kihaya acha kujichubua wewe ni mwanaume ujue

Watanzania wana majungu sana!

Nadhani hii pia inachangiwa na sera za ujamaa zilizoathiri vizazi vyote mpaka cha sasa kwa kudhani kwamba kila mtu yupo chini ya udhibiti wa jamii.

Mnapata wapi muda wa kujadili anachopaka mtu usoni?

Mnashupalia kabisa? is that really a big deal?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom