Mchekeshaji tokea Kenya Crazy Kenar namkubali Sana

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,484
34,786
Haka kajamaa na crew yake very funny Sana , wakenya kwenye Commedy wametuzidi tuwe Tu wa kweli. Huyu jamaa page yake ya insta ukipitia inakuondolea stress aisee.

Wabongo now sio wabunifu kabisa wanaenda Tu na trending na ubishoo bas. Akina Jaymond, Idris, Dullvan, Mr beneficial & Mjeshi, makali wenu, mafundi n.k wote chenga tu.

IL huyu dogo crazy Kenar na crew yake daah wapo good Sana

crazy_kennar-___CKGiFkprC7h___-1.jpg
 
Habari za kunyapianyapia zinasema Haji Manara ndio anatarajiwa kuwa Makamu wa rais. Mbona tutakoma mwaka huu.
 
Back
Top Bottom