Mchekeshaji Babu Mkombe tafadhali fanya mazungumzo na Mizengwe ujiunge nao.

Nina wazo la kuja kutengeneza series matata sana ya comedy ikiwakusanya:- Braza K, Babu Mkombe, Mboto, yule msukuma wa futuhi ya mwanzo nimemsahau jina, Tin white, Ringo, Ben Branco, Ktale, Hemedy, Aunt Ezekiel, Asha Boko, Riyama, JB, Rado (maduhu), Uwoya, Grace Mapunda, Gabo...... Na maarufu wengine kama 15 hivi ambao wamo kwenye list yangu, nachanganya na wasio maarufu zaidi ya 27,naamini itakuwa ni series ya aina yake pia nimeshapata mchanganuo wa bajeti yake....... Wapenzi wa comedy sasa inawaijia kivingine kabisa
Wengi ktk orodha hawachekeshi
 
Mizengwe inaangaliwaga mostly na watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 45 na kuendelea juu ambao hawajui comedy za maana zikoje.

Kukuta kijana anaangalia mizengwe ni ajabu maana maigizo yao hakuna jipya ni maigizo ya kitoto kitoto/kijinga jinga tu hayana creativity yoyote.
Kumbe wewe NDY wale wale wasiojuwa comedy... Wale jamaa wote kila mmoja Ana kipaji chake,,,, wanafurahisha sn,,, SUMAKU,, NDY kiboko yao.. Jamaa wapo vzr
 
Kumbe wewe NDY wale wale wasiojuwa comedy... Wale jamaa wote kila mmoja Ana kipaji chake,,,, wanafurahisha sn,,, SUMAKU,, NDY kiboko yao.. Jamaa wapo vzr
Aisee sawakuu,endelea kukomaa na Comedy eti za mkwere hahah
 
naangalia kila j2 mkuu, ni kijana mwenye akili na busara za kizee.

najua unapenda comedy za sex sex, ndo maana mafunzo ya mizengwe unahisi ni kwa ajili ya wazee
mkuu
Hao ndo mashabiki wa comedy ambazo mpaka wachekeshe basi wameongelea ngono wakina ebitoke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom