Mchecheto : Polisi Morogoro yazuia Dua ya Bavicha na uchangiaji wa Damu kwa ajili ya Wahanga wa moto wa lori la mafuta

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,436
FB_IMG_1566587695541.jpg

FB_IMG_1566587708085.jpg
 
Akili yako ndogo, umekurupuka... Wagonjwa bado ni wengi, usichukue hesabu ya wagonjwa wa muhimbili pekee, wapo wengine wako hospital zingine,.. Pia damu ni hitaji endelevu, hata wewe kesho utahitaji damu,... Akili mbofuu kabisa ww
Hao bavicha hawana akili wanachangia damu wakati wahanga 100 wameshakufa!!

Walikuwa wapi siku zote wakati Chadema MNA mbunge pale Morogoro mjini na wale ni miongoni mwa vijana wenu!
 
Kumbuka Waziri Mkuu siku ile aliwapongeza ccm kana kwamba waloungua na waloenda kuokoa ni wànaccm pekee.

Hata salam za Rais ni kuwapongeza wanaccm kwa mshikamano.

Vyama vingine marufuku kujihusisha na ajali ya Moro hamjui kwa nini ajali hiyo ilitokea.
 
Mimi naona hao BAVICHA walijichanganya sana, labda hawakujua nature ya ajari.Kwa kuwafahamisha tu ni kwamba hiyo ajali ni mali ya CCM kabisaaaaaaaa, waliitengeneza kwa sababu wanazozijua wao ndo maana wana kila sababu ya kuumiliki huo msiba.
Msiba ulitengezwa na CCM japo waliokufa ni watu mbali mbali hata na wana CDM wamo lakini bado jambazi Israel ccm hataki kuingiliwa kwenye project yake hiyo.
Bavicha waachieni CCM waendelee na kumwaga damu za waTz labda mwisho wa cku watz akili zitawakaa fresh.
 
Back
Top Bottom