Mchawi wa vifurushi vya intaneti ni mtandao wa Instagram

Ruyama

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
367
561
Jana nilijiunga na MB 400 nikasema acha nisiingie Instagram.

Huwezi kuamini hadi leo bado bando lipo, ninaingia JamiiForums, Google, WhatsApp, radio Capital FM ya Kenya lisaa limoja na Facebook.

Wakati mwingine kumbe tunalaumu mitandao inakula MB zetu pasipo kujua.

Kwa utafiti huo nimeshajua mchawi wa MB
 
We ni Pisi kali, Unatumiaje 1.2 GB Instagram? Mimi hata acc sina, Usiniambie unafanya matangazo ya biashara zako huko kijiwe cha wadada
mkuu mbona umenitusi tusi kubwa kiasi hiki? mimi pisi kali tena? Ipo hivi, insta hua inaconsume data in background hata usipoifungua.
 
Back
Top Bottom