MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,861
- 6,219
Bila kupoteza muda wafanyakazi wa TANESCO wote wanapewa units za umeme 700 kila mwezi kwa shilingi elfu 10 tu.
Huku mtanzania maskini anapandishiwa bei za umeme kila kukicha?
Hii sio fair!
Halafu wanasema TANESCO inapata hasara huku wanajipa umeme wa thamani ya laki mbili kwa shilingi elfu 10 tu, hapo TANESCO ina wafanyakazi karibu 5000 huu si ukichaa huu. Wakisema hawajui chanzo cha hasara zao.
Hili nalo la kumsubiri Donald Trump kweli aseme waafrica hatujui kujiongoza na hatuna akili
Mtu unamlipa mshahara mamilioni bado unampa na umeme wa laki mbili au tatu bure wakati shirika linajiendesha kwa hasara linategemea ruzuku za serikali.
Ha ha ha Donald Trump ni mkweli sana kwamba kuna watu wa iq ndogo sana hasa weusi.
Mchawi wa TANESCO ni TANESCO wenyewe hata waongeze bei ya umeme kwa hili la kujipa umeme bure wote hawawezi kuendelea.