donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
.
Hahaa gari imeshindwa kufika hapo mkuu au punda au trekta au power tiller
Nafkiri hujajua nlichomaanishs mkuu
Hivi haya matikiti yana tofauti gani na wale kuku wa kizungu?
Tunda gani wakati wote lipo tu sokoni sawa na mahindi ya Dar ambayo bila kuyapakaa pilipili na chumvi hayana ladha kabisa kama siyo sumu tupu za kemikali ni nini hasa?
Tunataka matikiti asilia ambayo Mwanza yamejaa tele...Dar iko vizuri sana kibiashara lakini tokana na vyakula 75% ni sumu tupu.

Acha kukariri maisha, mi natumia mchele asilia toka Ifakara Morogoro ambao umelimwa bila hata kutumia mbolea, sasa hapo kuna kemikali gani?Hakuna chochote utumiacho kisichokuwa na sumu
Kuanzia unga wa mahindi hadi maji
Ndiyomaana unakutana na vijana wadogo wadogo kirika lakini usoni ni Wazee sana sababu ya makemikali haya hayahayana manyoya
KagersUpo wapi?
Kabla soko haujamuita mchawi, wewe ndio jini
Kwanin Ulikua hauna business plan??
Au watu wanavyotoa hayo masomo mnaona wanawatapeli??? Sasa gawa bure ayo matikit
Kagers
Hivi haya matikiti yana tofauti gani na wale kuku wa kizungu?
Tunda gani wakati wote lipo tu sokoni sawa na mahindi ya Dar ambayo bila kuyapakaa pilipili na chumvi hayana ladha kabisa kama siyo sumu tupu za kemikali ni nini hasa?
Tunataka matikiti asilia ambayo Mwanza yamejaa tele...Dar iko vizuri sana kibiashara lakini tokana na vyakula 75% ni sumu tupu.
Sidhani kama matikiti ya asili yapo kwa wingi hata yale ya kijani cheusi kuna ambayo ni ya kisasa