Mchango wako unahitajika

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
Leo nimejitahidi ingawa kwa taabu sana kusikiliza Redio Iman. Yapo niliyojifunza na yapo niliyoyapotezea.
Kimsingi ndugu zetu wanaanzisha TV yao na gazeti lao (TV Iman & Gazeti Iman)
Hawana msaada toka kwa mzungu wala Mwarabu, ni wewe Mtanzania utakayefanikisha hilo.
Sasa, ukiwa kama Mtanzania Mzalendo, unaombwa mchango wako wa fedha ili kufanikisha uanzishwaji wa VYOMBO HIVYO MUHIMU kwa maendeleo ya taifa letu.

Wabilah TAWFIQ
 
Huu mchango uje vipi, nani unapokea, inawezekana mchangiaji akaleta vyombo badala ya pesa au ni pesa pekee:A S-key:
 
Huu mchango uje vipi, nani unapokea, inawezekana mchangiaji akaleta vyombo badala ya pesa au ni pesa pekee:A S-key:
Mchango wa HALI na MALI mkuu, unauwasilisha ziliko ofisi za mawakala wao. Kwa Dar esalaam ulizia pale Alharamain
 
Mchango wa HALI na MALI mkuu, unauwasilisha ziliko ofisi za mawakala wao. Kwa Dar esalaam ulizia pale Alharamain

Mh! nahisi wengi watajali zaidi hapo, nnapajua hapo Alharamain, thx kwa taarifa
 
Back
Top Bottom