Mchango wa vyombo vya habari na wanasiasa katika uvunjifu wa amani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchango wa vyombo vya habari na wanasiasa katika uvunjifu wa amani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, Oct 3, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Kuna baadhi ya watu au vyombo hapo mbeleni tunapoenda tutakuja kuelezena vizuri kwa michango yao katika hii nchi, mfano gazeti la uhuru-ccm kidedea igunga!nape mnauye-ccm yashinda igunga hadi katoa takwimu, haya ni baadhi, sasa ikiwa mtu kasoma hizi habari au kazisikia unamjengea nini mambo yakitangazwa tofauti??mtu kama nape ni kiongozi wa chama kitaifa lakini hatumii akili kufikiri hata kidogo! Rai yangu!vyombo husika vihukue hatua juu ya hawa watu na vyombo husika!machafuko ya rwanda, moja ya visababishi ilikuwa vyombo vya habari na matamshi ya wanasiasa!
   
Loading...