Mchango wa vyombo vya habari katika kuchochea uwazi Tanzania

Remmy

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
4,703
1,792
Ndugu wana JF, salaam zangu za dhati kwenu....
Naombeni msaada wenu. Namalizia Masters yangu kwa kufanya research isemayo Mchango wa vyombo vya habari katika kuchochea uwazi Tanzania. vyombo hivyo ni tvs, radios, newspapers, magazine, na mtandaoni. sasa naomba mawazo yenu katika haya yafuatayo:
1 Je vyombo vya habari vina mchango katika kuchochea uwazi?
2. Na mchango huo ni upi?
3 Na kwa vipi vinachochea uwazi?
4 na kama vinachochea uwazi je imact yake ni ipi?

Just feel free, be honest and sincere. ushabiki wowote hautakiwi, nipo serious. no joke nahitajin sana mawazo yenu.
unaruhusiwa pia kupoint chombo chochote cha habari as an example
kama unaona Id yako inafahamika just pm me. confidentiality is insured
maoni ya wote yataheshimiwa. toa maoni yako kama uonavyo kama kuna uwazi au hakuna uwazi kwa vyombo vyetu vya habari.
Thanks for your cooperation! may God bless you all!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom