Mchango wa Mwenge

Mchango wa Mwenge

Nipo kijijini nimeenda kwa Mw/kiti kumjuza nipo mtaani kwake, kaniambia kuna elfu moja yamchango wa Mwenge. Sasa najiuliza mchango wa mwenge kivipi?

mwenye ujuzi anijuze
Ichangie CCM
 
Nipo kijijini nimeenda kwa Mw/kiti kumjuza nipo mtaani kwake, kaniambia kuna elfu moja yamchango wa Mwenge. Sasa najiuliza mchango wa mwenge kivipi?

mwenye ujuzi anijuze
Ungemwambia tuu Unaliwa wewee😂😂😂😂😂
Mwenge wajiamulie kukimbiza wao wewe uchangie kwa namna gaani!!!?
 
Back
Top Bottom