Mchango wa Mohamed Said kuhusu Historia ya Tanzania watambuliwa rasmi, apewa Tuzo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,589
217,979
Ushahidi huu hapa

JamiiForums_imetoa_tuzo_zawadi_ya_kutambua_Mchango_wa_Uandishi_wa_Mwanachama_wake%252C_Ndugu_M...jpg
 
Maasha-Allah. Maasha-Allah. Maasha-Allah.

Ama kwa hakika mimi sipingani na hii taarifa hata robo ya nukta 1. You deserve it.

Wewe ni vitabu vinavyotembea, tena ni zaidi ya vitabu. Nchi yetu inakuhitaji sana katika kumbukizi za safari za Taifa Letu pendwa ; TANZANIA.

MUNGU AKUPE UMRI MREFU ZAID NA ZAID MZEE WETU.

🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom