Mchango wa Mbio za Mwenge kwenye Kuchochea Maambukizi ya UKIMWI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchango wa Mbio za Mwenge kwenye Kuchochea Maambukizi ya UKIMWI

Discussion in 'JF Doctor' started by Kinyungu, Dec 1, 2011.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,379
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  Mbio za mwenge zimekuwa zikikusanya watu katika miji na vijiji mbali mbali vya Tanzania. Wakati tuendelea kujiuliza umuhimu wa kukimbiza mwenge kwenye karne hii ni vyema pia tukatafakari ni kwa jinsi gani mbio hizi za mwenge zimechangia kwenye kuchochea maabukizi ya ukimwi nchini kwani tangu ukimwi ulivyoingia nchini mbio za mwenge zimekuwa kichaka cha wananchi kufanya ngono zembe hasa sehemu unapolala mwenge huu.


  WAKATI UKITAFAKARI KILA MARA CHUKUA TAHADHARI NA UJILINDE NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI
   
Loading...