Mchango wa mapato kwa matumizi ya taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchango wa mapato kwa matumizi ya taifa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Nick, Jul 24, 2009.

 1. N

  Nick Member

  #1
  Jul 24, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 55
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Mchango wa mapato Zanzibar,
  Mimi ni mtanzania wa elimu ya kati. Kuna jambo hili la Zanzibar kuomba mchango wa fedha za matumizi kutoka mapato ya taifa. Hapa kweli nashindwa kuelewa. Ni taifa kuchangia fedha za matumizi au ni Zanzibar kuchangia mapato yao kwenye matumizi ya taifa? Hapo ndio tuu nashindwa kuelewa. Naomba mwenye utaalam na haya mambo anifunze.
   
Loading...