Mchango Wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Katika Mapambano Dhidi Ya Virusi Vya Corona

mkiluvya

JF-Expert Member
May 23, 2019
802
725
1589034077230.png

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimeanza usanifu wa kuunda mashine za kupumulia ya kiotomatiki inayowasaidia wagonjwa waliozidiwa kupumua na kufanya utafiti wa tiba mbadala zinazoonyesha uwezekano wa kuzuia au kupunguza makali ya ugonjwa wa corona.

Hayo yamo kwenye taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo hicho (Utafii), ikielezea mipango mbalimbali ambayo chuo kimejiwekea kusaidia jitihada za serikali kupambana na ugonjwa huo.

Ilisema UDSM pia imejiandaa kutoa fedha za utafiti kuhusu ugonjwa wa corona na imewahimiza watafiti wake kuendelea kufanya utafiti kwa kasi zaidi ili kupata tiba, kinga au njia nyingine ya kudhibiti maambukizo ya ugonjwa wa corona.

“Kupitia Ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo-Utafiti, Chuo kimetenga fedha za utafiti na uvumbuzi kiasi cha Sh. 1,500,000,000 katika mwaka wa fedha wa 2020/2021 kwa ajili ya mapendekezo yanayohusu athari za maradhi ya Covid-19 na mada nyingine za utafiti,” ilisema.

Ilisema UDSM, kupitia Kituo cha Maendeleo na Uhawilishaji wa Teknolojia (TDTC), kimebuni aina mbili za mashine za kunawia mikono za kiotomatiki na zinazotumia miguu.

Taarifa hiyo ilisema mashine hizo zina tangi la lita 250 na zimeandaliwa maalumu kwa ajili ya taasisi zinazohudumia idadi kubwa ya watu kama vile maeneo ya hospitali, viwanda na masoko.

Ilisema mashine hizo zinatoa sabuni ya maji na maji baada ya mtu kusogeza mikono karibu na sensa kwa upande wa mashine za kiotomatiki na kukanyaga pedeli kwa upande wa mashine zinazoendeshwa kwa kutumia miguu.

“Mashine hizi ni nzuri na hazihitaji kufunguliwa kwa mikono hivyo kupunguza uwezekano wa kuambukizana kwa kushika mabomba ya maji, aidha, Chuo tayari kimeshauza mashine hizi katika taasisi kadhaa zikiwamo, Amref, BoT, NHIF, TAA, WFP, TOL, Tamisemi, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na Tanesco,” ilisema taarifa hiyo.

Ilisema kama mchango wake kwa jamii, UDSM, kupitia TDTC, kinatengeneza mashine 20 za kunawia mikono zitakazotolewa kama msaada kwa hospitali za serikali zilizoandaliwa kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wa Covid-19 jijini Dar es Salaam na mashine zingine zitapelekwa katika vituo vikuu vya mabasi na daladala.

Ilisema kitengo cha vitambaa na nguo cha Idara ya Uhandisi Mitambo na Viwanda kikishirikiana na Kituo cha (TDTC) cha UDSM kimeanza uzalishaji wa barakoa za kiwango cha hali ya juu zenye matabaka matatu.

Kuhusu uzalishaji wa vitakasa mikono, ilisema UDSM imeanzisha mradi wa kuzalisha bidhaa hiyo kwa ajili ya matumizi yake ya ndani na ya umma kwa ujumla.

Ilisema taratibu za uzalishaji wa vipukusi hivyo vya mikono zimezingatia mapendekezo ya Shirika la Afya Duniani, pamoja na viambata vingine, kunahitajika alkoholi isiyopungua asilimia 60.

Kuhusu upimaji wa ubora wa barakoa ilisema UDSM kupitia vitengo vyake mbalimbali kimekamilisha utafiti wa ubora wa barakoa za vitambaa zinazozalishwa na taasisi na watu mbalimbali.

“Matokeo ya utafiti huo utakaotolewa hivi karibuni yameainisha aina mbalimbali za vitambaa vinavyotumika na ubora wake na utafiti huo umekuja na mapendekezo ya namna ya kutengeneza barakoa za vitambaa zenye ubora,” ilisema.

Ilitaja hatua zingine inazochukua kuwa ni kubaini, kupima na kuchanganua sumu katika bidhaa asilia zilizoteuliwa kama vile matunda, mboga, mimea-tiba kwa ajili ya kuongeza virutubisho na kuandaa bidhaa za tibalishe.
 
Ni kwa ajili ya Covid-19 pekee au na milipuko mingine.? Kovidi inaenda kuisha wao ndo wanaamka, eti ni chuo Kikuu bora nchini.... majalala.
 
View attachment 1444901

Hayo mamashine ya kukanyaga pedeli,kwanza sio UDSM walioanza kuzitengeneza,hizo mashine zipo mtaani,kwa miezi miwili sasa,
Pili,hazina ubora,unaweza ukakanyaga pedeli,kichupa cha sabuni,kikaruka pembeni,
Zinazotakiwa ni zile zenye uwezo wa ku sensi mikono,zikatoa sabuni,na maji,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakanyaga ukiwa umeshiba ugali wako na maharage kwanini kichupa cha sabuni kisiruke wewe mkuu fanya kama upo Unguja unabofya tuu bonyeeeeee
 
Jamaa wa Kagera kule ndio hero wa hizi mashine. Unaipigia simu mashine inatoa maji na sabuni unanawa
View attachment 1444901
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimeanza usanifu wa kuunda mashine za kupumulia ya kiotomatiki inayowasaidia wagonjwa waliozidiwa kupumua na kufanya utafiti wa tiba mbadala zinazoonyesha uwezekano wa kuzuia au kupunguza makali ya ugonjwa wa corona.

Hayo yamo kwenye taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo hicho (Utafii), ikielezea mipango mbalimbali ambayo chuo kimejiwekea kusaidia jitihada za serikali kupambana na ugonjwa huo.

Ilisema UDSM pia imejiandaa kutoa fedha za utafiti kuhusu ugonjwa wa corona na imewahimiza watafiti wake kuendelea kufanya utafiti kwa kasi zaidi ili kupata tiba, kinga au njia nyingine ya kudhibiti maambukizo ya ugonjwa wa corona.

“Kupitia Ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo-Utafiti, Chuo kimetenga fedha za utafiti na uvumbuzi kiasi cha Sh. 1,500,000,000 katika mwaka wa fedha wa 2020/2021 kwa ajili ya mapendekezo yanayohusu athari za maradhi ya Covid-19 na mada nyingine za utafiti,” ilisema.

Ilisema UDSM, kupitia Kituo cha Maendeleo na Uhawilishaji wa Teknolojia (TDTC), kimebuni aina mbili za mashine za kunawia mikono za kiotomatiki na zinazotumia miguu.

Taarifa hiyo ilisema mashine hizo zina tangi la lita 250 na zimeandaliwa maalumu kwa ajili ya taasisi zinazohudumia idadi kubwa ya watu kama vile maeneo ya hospitali, viwanda na masoko.

Ilisema mashine hizo zinatoa sabuni ya maji na maji baada ya mtu kusogeza mikono karibu na sensa kwa upande wa mashine za kiotomatiki na kukanyaga pedeli kwa upande wa mashine zinazoendeshwa kwa kutumia miguu.

“Mashine hizi ni nzuri na hazihitaji kufunguliwa kwa mikono hivyo kupunguza uwezekano wa kuambukizana kwa kushika mabomba ya maji, aidha, Chuo tayari kimeshauza mashine hizi katika taasisi kadhaa zikiwamo, Amref, BoT, NHIF, TAA, WFP, TOL, Tamisemi, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na Tanesco,” ilisema taarifa hiyo.

Ilisema kama mchango wake kwa jamii, UDSM, kupitia TDTC, kinatengeneza mashine 20 za kunawia mikono zitakazotolewa kama msaada kwa hospitali za serikali zilizoandaliwa kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wa Covid-19 jijini Dar es Salaam na mashine zingine zitapelekwa katika vituo vikuu vya mabasi na daladala.

Ilisema kitengo cha vitambaa na nguo cha Idara ya Uhandisi Mitambo na Viwanda kikishirikiana na Kituo cha (TDTC) cha UDSM kimeanza uzalishaji wa barakoa za kiwango cha hali ya juu zenye matabaka matatu.

Kuhusu uzalishaji wa vitakasa mikono, ilisema UDSM imeanzisha mradi wa kuzalisha bidhaa hiyo kwa ajili ya matumizi yake ya ndani na ya umma kwa ujumla.

Ilisema taratibu za uzalishaji wa vipukusi hivyo vya mikono zimezingatia mapendekezo ya Shirika la Afya Duniani, pamoja na viambata vingine, kunahitajika alkoholi isiyopungua asilimia 60.

Kuhusu upimaji wa ubora wa barakoa ilisema UDSM kupitia vitengo vyake mbalimbali kimekamilisha utafiti wa ubora wa barakoa za vitambaa zinazozalishwa na taasisi na watu mbalimbali.

“Matokeo ya utafiti huo utakaotolewa hivi karibuni yameainisha aina mbalimbali za vitambaa vinavyotumika na ubora wake na utafiti huo umekuja na mapendekezo ya namna ya kutengeneza barakoa za vitambaa zenye ubora,” ilisema.

Ilitaja hatua zingine inazochukua kuwa ni kubaini, kupima na kuchanganua sumu katika bidhaa asilia zilizoteuliwa kama vile matunda, mboga, mimea-tiba kwa ajili ya kuongeza virutubisho na kuandaa bidhaa za tibalishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki chuo kimetupa Zawadi moja kimetupa Jiwe ambalo no very incompetent hata kuongoza vikao vya sadc ni issue. Yani hiki chuo sijui tukifanye.
Nashauri kibomolowe au kifanye kiwe kinatoa kozi ya unesi tu.

Baadhi ya product za udsm.

-jiwe
-kitila
-rais wa mawe
-jalalani
Yaani hizi number ukiziangalia ni vichekesho vitupu
 
Chuo kikuu majengo ni mazuri sana , waliomo ndio wamechakaa akili, miaka inaenda na kurudi hawagundui kitu, hawavumbui kitu hata Ku copy machine za kichina wakazipa jina wanashindwa. Juzi nimeona pikipiki nyingi za kuchaji, mpaka sasa technologically iliyotumika ni ya motor na inverter lakini si veta wala chuo wameiga hizi
 
Automatic Liquid Soap Dispensers mbona zipo tu miaka, automatic hand dryers na automatic air freshener dispensers sasa wao wamebuni kipi au wameunda kipi! Tukubali tu kuwa wanatengeneza.
 
Hiki chuo kimetupa Zawadi moja kimetupa Jiwe ambalo no very incompetent hata kuongoza vikao vya sadc ni issue. Yani hiki chuo sijui tukifanye.
Nashauri kibomolowe au kifanye kiwe kinatoa kozi ya unesi tu.

Baadhi ya product za udsm.

-jiwe
-kitila
-rais wa mawe
-jalalani
Yaani hizi number ukiziangalia ni vichekesho vitupu
Tutake radhi mkuu. Mbona vipanga wapo wametulia tuuu.

Wewe chuo chako kimefanya nini?

komesha korona
 
View attachment 1444901
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimeanza usanifu wa kuunda mashine za kupumulia ya kiotomatiki inayowasaidia wagonjwa waliozidiwa kupumua na kufanya utafiti wa tiba mbadala zinazoonyesha uwezekano wa kuzuia au kupunguza makali ya ugonjwa wa corona.

Hayo yamo kwenye taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo hicho (Utafii), ikielezea mipango mbalimbali ambayo chuo kimejiwekea kusaidia jitihada za serikali kupambana na ugonjwa huo.

Ilisema UDSM pia imejiandaa kutoa fedha za utafiti kuhusu ugonjwa wa corona na imewahimiza watafiti wake kuendelea kufanya utafiti kwa kasi zaidi ili kupata tiba, kinga au njia nyingine ya kudhibiti maambukizo ya ugonjwa wa corona.

“Kupitia Ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo-Utafiti, Chuo kimetenga fedha za utafiti na uvumbuzi kiasi cha Sh. 1,500,000,000 katika mwaka wa fedha wa 2020/2021 kwa ajili ya mapendekezo yanayohusu athari za maradhi ya Covid-19 na mada nyingine za utafiti,” ilisema.

Ilisema UDSM, kupitia Kituo cha Maendeleo na Uhawilishaji wa Teknolojia (TDTC), kimebuni aina mbili za mashine za kunawia mikono za kiotomatiki na zinazotumia miguu.

Taarifa hiyo ilisema mashine hizo zina tangi la lita 250 na zimeandaliwa maalumu kwa ajili ya taasisi zinazohudumia idadi kubwa ya watu kama vile maeneo ya hospitali, viwanda na masoko.

Ilisema mashine hizo zinatoa sabuni ya maji na maji baada ya mtu kusogeza mikono karibu na sensa kwa upande wa mashine za kiotomatiki na kukanyaga pedeli kwa upande wa mashine zinazoendeshwa kwa kutumia miguu.

“Mashine hizi ni nzuri na hazihitaji kufunguliwa kwa mikono hivyo kupunguza uwezekano wa kuambukizana kwa kushika mabomba ya maji, aidha, Chuo tayari kimeshauza mashine hizi katika taasisi kadhaa zikiwamo, Amref, BoT, NHIF, TAA, WFP, TOL, Tamisemi, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na Tanesco,” ilisema taarifa hiyo.

Ilisema kama mchango wake kwa jamii, UDSM, kupitia TDTC, kinatengeneza mashine 20 za kunawia mikono zitakazotolewa kama msaada kwa hospitali za serikali zilizoandaliwa kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wa Covid-19 jijini Dar es Salaam na mashine zingine zitapelekwa katika vituo vikuu vya mabasi na daladala.

Ilisema kitengo cha vitambaa na nguo cha Idara ya Uhandisi Mitambo na Viwanda kikishirikiana na Kituo cha (TDTC) cha UDSM kimeanza uzalishaji wa barakoa za kiwango cha hali ya juu zenye matabaka matatu.

Kuhusu uzalishaji wa vitakasa mikono, ilisema UDSM imeanzisha mradi wa kuzalisha bidhaa hiyo kwa ajili ya matumizi yake ya ndani na ya umma kwa ujumla.

Ilisema taratibu za uzalishaji wa vipukusi hivyo vya mikono zimezingatia mapendekezo ya Shirika la Afya Duniani, pamoja na viambata vingine, kunahitajika alkoholi isiyopungua asilimia 60.

Kuhusu upimaji wa ubora wa barakoa ilisema UDSM kupitia vitengo vyake mbalimbali kimekamilisha utafiti wa ubora wa barakoa za vitambaa zinazozalishwa na taasisi na watu mbalimbali.

“Matokeo ya utafiti huo utakaotolewa hivi karibuni yameainisha aina mbalimbali za vitambaa vinavyotumika na ubora wake na utafiti huo umekuja na mapendekezo ya namna ya kutengeneza barakoa za vitambaa zenye ubora,” ilisema.

Ilitaja hatua zingine inazochukua kuwa ni kubaini, kupima na kuchanganua sumu katika bidhaa asilia zilizoteuliwa kama vile matunda, mboga, mimea-tiba kwa ajili ya kuongeza virutubisho na kuandaa bidhaa za tibalishe.
Jambo jema waende mbele zaidi

UDSM wangejikita kwenye kuboresha elimu wanayotoa kwa wanafunzi wao ili wahitimu wao waweze kushindana na wahitimu wa vyuo vya nchi nyingine kwenye soko la ajira. Elimu bora bado inahitajika sana kote duniani kwa hiyo ni juu ya vyuo kuandaa wanafunzi wao wapate elimu yenye manufaa popote wakati wowote badala ya ile ya maeneo yetu tu. Tunashuuhdia wasomi wengi mitaani hawana ajira wakati huohuo Luna nchi zinakosa nguvukazi iliyoelimika kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na gharama kubwa za elimu bora. Bora elimu ndo tunaona PhD nyingi na Maprofesa wengi bungeni na Serkalini lakini mchango wao kwa jamii ni sawa na hakuna. Ukiona Profesa anakimbia chuo kwenda kwenye siasa ujue kuna tatizo kwenye elimu yake maana kuna fursa nyingi sana chuoni kuliko kugonga meza bungeni.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom