Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,020
- 173,670
Hivi ushajiuliza ni kwanini watoto wa kike waliolelewa katika familia zenye upendo sana hasa wa baba na mama wanakuja kuwa na upendo wa dhati sana kwa wapenzi hata waume wao tofauti na watoto waliokulia katika familia ambazo zina maugomvi kila kukicha wazazi wanazozana tu ama kulelewa na single parent?
Jibu ni kuwa wazazi wa binti na hasa baba ana mchango mkubwa sana katika makuzi ya binti. Baba kumuonesha binti yake upendo ambao ni extreme kuna faida kubwa sana hasa katika kumjengea binti confidence na kuwa na moyo wa kupenda kwa dhati afikiapo umri wa utu uzima. Baba akishow love itamfanya binti kutambua kwamba mwanaume ni nani na namna gani ya kuishi nae ila sio hilo tu bali kujua upi ni upendo wa kweli na yupi ni mpenzi sahihi. On top of all binti huwa very romantic kama amelelewa katika upendo mkubwa toka kwa baba.
On the other hand mabinti ambao hawajakulia kwenye huo upendo ndio hawa wanaopata shida sana kwenye mahusiano kwa sababu wengi ni majeuri, wajuaji na washenzi. Hawana upendo wa dhati na hawaoni umuhimu wa kumjali mtu. Sio makosa yao ni kukosa upendo wa dhati toka utotoni.
Ombi kwa wenye mabinti wadogo tafadhalini muwapende kwa dhati wazee wenzangu. Tunaoteseka ni sisi ambao tutakuja kuozesha vijana wetu jamani. Pendeni binti zenu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.