Mchango wa baba katika kujenga upendo wa binti

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
66,989
173,606
Hivi ushajiuliza ni kwanini watoto wa kike waliolelewa katika familia zenye upendo sana hasa wa baba na mama wanakuja kuwa na upendo wa dhati sana kwa wapenzi hata waume wao tofauti na watoto waliokulia katika familia ambazo zina maugomvi kila kukicha wazazi wanazozana tu ama kulelewa na single parent?

Jibu ni kuwa wazazi wa binti na hasa baba ana mchango mkubwa sana katika makuzi ya binti. Baba kumuonesha binti yake upendo ambao ni extreme kuna faida kubwa sana hasa katika kumjengea binti confidence na kuwa na moyo wa kupenda kwa dhati afikiapo umri wa utu uzima. Baba akishow love itamfanya binti kutambua kwamba mwanaume ni nani na namna gani ya kuishi nae ila sio hilo tu bali kujua upi ni upendo wa kweli na yupi ni mpenzi sahihi. On top of all binti huwa very romantic kama amelelewa katika upendo mkubwa toka kwa baba.

On the other hand mabinti ambao hawajakulia kwenye huo upendo ndio hawa wanaopata shida sana kwenye mahusiano kwa sababu wengi ni majeuri, wajuaji na washenzi. Hawana upendo wa dhati na hawaoni umuhimu wa kumjali mtu. Sio makosa yao ni kukosa upendo wa dhati toka utotoni.

Ombi kwa wenye mabinti wadogo tafadhalini muwapende kwa dhati wazee wenzangu. Tunaoteseka ni sisi ambao tutakuja kuozesha vijana wetu jamani. Pendeni binti zenu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
 
Imekaa poa sana...ila mibaba ya bongo ni hekaheka tupu another thing nadhani kama mwanaume hakukulia kkt misingi ya upendo as kuipenda familia yake pamoja na watoto bado huu utakua ni mtihani mkubwa sana kwake... kwa sababu moja ili watoto wako wakupende wewe baba ni lazima kwanza uanze kumpenda mama yao na hapa ndipo hekaheka linapoanzia
 
Hivi ushajiuliza ni kwanini watoto wa kike waliolelewa katika familia zenye upendo sana hasa wa baba na mama wanakuja kuwa na upendo wa dhati sana kwa wapenzi hata waume wao tofauti na watoto waliokulia katika familia ambazo zina maugomvi kila kukicha wazazi wanazozana tu ama kulelewa na single parent?

Jibu ni kuwa wazazi wa binti na hasa baba ana mchango mkubwa sana katika makuzi ya binti. Baba kumuonesha binti yake upendo ambao ni extreme kuna faida kubwa sana hasa katika kumjengea binti confidence na kuwa na moyo wa kupenda kwa dhati afikiapo umri wa utu uzima. Baba akishow love itamfanya binti kutambua kwamba mwanaume ni nani na namna gani ya kuishi nae ila sio hilo tu bali kujua upi ni upendo wa kweli na yupi ni mpenzi sahihi. On top of all binti huwa very romantic kama amelelewa katika upendo mkubwa toka kwa baba.

On the other hand mabinti ambao hawajakulia kwenye huo upendo ndio hawa wanaopata shida sana kwenye mahusiano kwa sababu wengi ni majeuri, wajuaji na washenzi. Hawana upendo wa dhati na hawaoni umuhimu wa kumjali mtu. Sio makosa yao ni kukosa upendo wa dhati toka utotoni.

Ombi kwa wenye mabinti wadogo tafadhalini muwapende kwa dhati wazee wenzangu. Tunaoteseka ni sisi ambao tutakuja kuozesha vijana wetu jamani. Pendeni binti zenu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Very true.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well tuje kwenye mada husika!
Mabinti walio karibu na baba zao kwanza hujifunza upendo wa jinsi tofauti , kiasi hata katika mahusiano ya kijinsia they tend to be very stable!
HAIMSHANGAZI!
HAONI NI PRIVILEDGE RATHER ANAUTAZAMA UPENDO KAMA UBINADAMU SINCE KWAKE NI KAWAIDA KUPENDWA NA ASIYE WA JINSI YAKE!
HATA NAMNA YAKE YA KUTOA NA KUPOKEA MAPENZI NI TOFAUTI!, ANAKUWA SI TEGEMEZI WA KIHISIA!
Mabinti hawa hata huchelewa kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi, NA AKIINGIA mostly anakuwa VERY INDEPENDENT!,
Kinyume na wanavyotafsirika dads girls wengi are the best wives, mothers and girlfriends!
THEY TEND TO LOVE AND SHOW LOVE KWA AINA YAO KABISA!
ambayo its controversial but the best!
IM A MOTHER OF TWO GIRLS (19,14 yrs) the bond between my girls and their father is daaaaah!
I love the way they are!
 
Mkuu kwa nini tusiseme kwamba hao mabinti wanajifunza kutoka kwa mama yao hizo conflict solving skills na sio kinyume chake.
Mfano nimeona mara nyingi hata familia ambazo mama ni mtata( hata kama anaishi na baba) basi watoto wa kike nao huwa wana kuwa watata.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kitu watu hatukidhanii ni kuwa, WATOTO WA KIKE ROLE MODEL WAO NI BABA ZAO!
 
kitu watu hatukidhanii ni kuwa, WATOTO WA KIKE ROLE MODEL WAO NI BABA ZAO!

Ni kweli unachokisema, sema hili swala ni mtambuka sana. Huwa tunasema tabia ni matokeo ya nature( your genome/DNA) and nurture( malezi yakiwemo). So, inawezekana mtoto akarithi tabia za mama au baba. Mfano, mama anatabia ambazo zinasababisha anashindwa kuishi kwenye ndoa( not a good example though)kuna possibility kubwa mtoto naye akarithi hizo tabia(DNA). Same thing kama baba anatabia nzuri anaweza zirithisha kwa mtoto.
Mara nyingi tunapozungumzia haya mambo huwa tunadeal sana na nurture na tunasahau kuhusu nature.

Kubwa ambalo watoto hujifunza kwa wazazi ni NAMNA VILE WANAFANYA VITU, pamoja na namna wanapendana au wanachukiana au kutendeana!
Hii nafkr ndicho mleta mada anajaribu kuonesha mchango wa family zetu za kwanza kwenye familia zetu za pili!
BINTI ANAYESHUHUDIA BABA YAKE ASIYE MTESI, RAHISI SANA KUSPOT MWANAUME MTESI NA KINYUME CHAKE! NA KUJINASUA! since anajua the definition of being the opp!
lakini nakuabaliana sana na wewe pia kuhusu tabia kama matokeo ya asili na ya kutengenezwa!
NATOFAUTIANA KWENYE UASILI WA KURITHI hasa inapokuja ni suala la tabia!
UASILI UANABAKI KUWA NAMNA VILE UMEUMBWA TU ,AKILI YAKO NI MTU WA AINA GANI! .
ATHARI YA MZAZI KWA MTOTO KABLA NA IMMEDIATE BAADA YA KUZALIWA HASA IPO KIBAIOLOJIA
TUNAPOZALIWA TUNAZALIWA TUKIWA NA URITHI WA DAMU,MAUMBILE, SURA NA MWONEKANO KUTOKA KWA WAZAZI WETU!

ATHARI ZA MZAZI KWA MTOTO BAADA YA KUZALIWA NA KWENYE KUKUA IPO KITABIA!
TUNAPOKUA NA TUNARITHI TABIA KUTOKANA NA YALE TUNAYAONA YAKIFANYWA NA WANAOTUZUNGUKA, WAZAZI WAKIWA WA KWANZA AU WANAOTULEA.

Watoto mapacha watatu, wakigawanywa kwa familia TATU TOFAUTI , BAADA TU YA KUZALIWA!
miaka 30 baadae, UTAKUTANA NA WATU WATATU TOFAUTI!
 
Back
Top Bottom