Mchange asili yako wapi?

KIBAHA ONE

Member
Jan 16, 2013
35
22
Wana bodi,
Nimeamua kuleta mada hii ili mhusika aeleze ukweli juu ya asili yake. Nimeuliza jambo hili kwa kuwa amekuwa akibeza kila kinachofanywa na watu ambao si wenyeji wa mkoa wa Pwani hasa ktk masuala ya kisiasa kwa kisingizio kuwa mambo ya Pwani waachiwe watu wa Pwani akiwemo Habibu Mchange.

Mtu huyu anajifanya ni mzaliwa wa Pwani aliingia Kibaha mwaka 2009, baada ya uchaguzi wa BAVICHA kuahirishwa. Mara ya kwanza alisema amezaliwa.ktk Kijiji cha Lupunga Kata ya Ruvu, Halmashauri ya Wilaya ya.Kibaha (wakati huo alikuwa na nia ya kugombea ubunge jimbo la Kibaha Vijijini).

Baadae mwaka 2010 akawaaminisha wananchi wa Kibaha Mjini kuwa ni mzaliwa wa Kijiji cha Tondoroni kilichopo Wilaya ya Kisarawe (wakati huo alikuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA ktk jimbo la Kibaha Mjini). mwezi Des.2013, wameutangazia umma kuwa yeye ni mngoni alizaliwa Morogoro.

Sasa namuomba aeleze umma sababu za kuwa kigeugeu. Pia kwa kutokuwa mkweli kwa jambo dogo tu kama hili WTZ wana haja ya kuamini hoja zake anazotoa sasa ?

Je kama angefanikiwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini si angewahadaa wapiga kura wake ?. Je ile kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge imeishia wapi ?. Wanakibaha na wadau wengine tunaomba majibu ya maswali haya.
 
Huyu hana tofauti na yahaya hata hapo kibaha naskia haeleweki anaishi wapi, zaidi navomjua mimi ni kwamba ni mwizi wa simu za kichina
 
Lupunga, Tondoroni, Morogoro, Songea, Kibaha yote ni Tanzania-hebu tujadilini yenye kuleta tija siyo kila siku ni ukabila, ukanda, uzawa na mfano wake. Kama una ushahidi tuambie na tuletee kwamba yeye si mtanzania lkn swali la kazaliwa wapi ndani ya Tanzania nadhani kama halina maana sana kwasababu bila shaka huyo mtu ameandikishwa au ataandikishwa kupata kitabulisho cha uraia na humo ndani yake hilo swali litakuwa limeelezwa ipasavyo. Tujengeni nchi siyo kuifitini nchi.
 
Kwa Mujibu wa Ibara ya 19 Ya Katiba ya JMT, ile Kanuni ya 43 ya Kudumu, Kifungu cha 3 mstari ule wa 7 wenye subsection 9(c) ya Mwaka 1977 yenye Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Sheria namba 2 Sura ya 143 kwa Jedwali la 6 la Rasimu Mpya ya mwaka 2013, Ibara ile ya 1 hadi ya 3 ya kifungu 22(1)(c) Inasema kwamba: Nanukuu " Mtu kutoka kabila lolote halali la Tanzania Bara, anaweza kugombea Ubunge sehemu yoyote ndani ya Tanzania Bara"...Mwisho wa Kunukuu.
 
Mchange amebaki kuchumia tumbo tu

Acha mchange aendelee kuchumia tumbo kama ambavyo watanzania wengi masikini tufanyavyo. Hongera kwa Baba Joyce Mukya ambaye yeye anakula kodi za wajinga kwenda kujifunika shuka huko Dubai. Acha sisi tuendelee kuchumia matumbo hatuna njozi za kujenga labda ngono iishe.
 
Huyu bwna ni mgogo

Back
Top Bottom