KIBAHA ONE
Member
- Jan 16, 2013
- 35
- 22
Wana bodi,
Nimeamua kuleta mada hii ili mhusika aeleze ukweli juu ya asili yake. Nimeuliza jambo hili kwa kuwa amekuwa akibeza kila kinachofanywa na watu ambao si wenyeji wa mkoa wa Pwani hasa ktk masuala ya kisiasa kwa kisingizio kuwa mambo ya Pwani waachiwe watu wa Pwani akiwemo Habibu Mchange.
Mtu huyu anajifanya ni mzaliwa wa Pwani aliingia Kibaha mwaka 2009, baada ya uchaguzi wa BAVICHA kuahirishwa. Mara ya kwanza alisema amezaliwa.ktk Kijiji cha Lupunga Kata ya Ruvu, Halmashauri ya Wilaya ya.Kibaha (wakati huo alikuwa na nia ya kugombea ubunge jimbo la Kibaha Vijijini).
Baadae mwaka 2010 akawaaminisha wananchi wa Kibaha Mjini kuwa ni mzaliwa wa Kijiji cha Tondoroni kilichopo Wilaya ya Kisarawe (wakati huo alikuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA ktk jimbo la Kibaha Mjini). mwezi Des.2013, wameutangazia umma kuwa yeye ni mngoni alizaliwa Morogoro.
Sasa namuomba aeleze umma sababu za kuwa kigeugeu. Pia kwa kutokuwa mkweli kwa jambo dogo tu kama hili WTZ wana haja ya kuamini hoja zake anazotoa sasa ?
Je kama angefanikiwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini si angewahadaa wapiga kura wake ?. Je ile kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge imeishia wapi ?. Wanakibaha na wadau wengine tunaomba majibu ya maswali haya.