kwenye like kundi la wadada wenye sura nzito nimekutoa, kumbe unakunywa vitu vizuri aggyjayKaribuni akina kaka na akina dada.
Kila mtu anaweza kutoa uzoefu wake.
Ni mchanganyiko gani wa matunda huleta juice yenye ladha nzuri ambayo kila mtu anaweza kuikubali.
Sio kwa matumizi ya familia tu..hata for commercial purpose.
karibuni!
Tiba Mkuu hii. Ni hatari sana. Hahaha1.Tende saga.
2.Karanga zikaange ondoa magamba Kisha saga.
3.maziwa fresh chemsha acha yapoe.
Kwa kutumia brender au kipekecho (Kama ndo jina lake) changanya mchanganyiko huu.
Tumia maziwa kutengeneza uzito au wepesi uutakao.
Hamna haja ya sukari hapo.
Hii juicy Ni balaaa halafu imekaa kitajiri mno.
Nawashauri mjaribu
majuice ya matunda mchezo unadhaniVitu vizuri ndo vipi hivo?
Hahaa hayamajuice ya matunda mchezo unadhani
Naomba ufafanueParachichi Na passion perfect combo +tangawizi
ndizi ukiweka kwenye juice yeyote ile sharti uitumie ndani ya siku mbili tofauti hutoweza kuinywa itakuwa imebadilika ladhaVp ukichukua
parachch + ndizi + embe + papai
Hapo vp au vinazidi sana, cjawah jaribu vyote hivyo nataka nije kuharibu et.
😂😂kweli?
Juice ya stafeli anaejua jinsi ya kutengeneza pliz msaada
hapo thathaKuna swala la kwamba mchanganyiko huo unaleta Radha nzuri mdomoni , na kwamba Je huo mchanganyiko unashauriwa kiafya?
Is it recommended nutritious?