Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

Karibuni akina kaka na akina dada.
Kila mtu anaweza kutoa uzoefu wake.

Ni mchanganyiko gani wa matunda huleta juice yenye ladha nzuri ambayo kila mtu anaweza kuikubali.
Sio kwa matumizi ya familia tu..hata for commercial purpose.

karibuni!
kwenye like kundi la wadada wenye sura nzito nimekutoa, kumbe unakunywa vitu vizuri aggyjay
 
1.Tende saga.
2.Karanga zikaange ondoa magamba Kisha saga.
3.maziwa fresh chemsha acha yapoe.

Kwa kutumia brender au kipekecho (Kama ndo jina lake) changanya mchanganyiko huu.
Tumia maziwa kutengeneza uzito au wepesi uutakao.
Hamna haja ya sukari hapo.
Hii juicy Ni balaaa halafu imekaa kitajiri mno.
Nawashauri mjaribu
Tiba Mkuu hii. Ni hatari sana. Hahaha
 
Naomba kwa anayefahamu jinsi ya kutengeneza juice ya strawberry anielekeze, ni kwaajili ya biashara.
 
Kuna swala la kwamba mchanganyiko huo unaleta Radha nzuri mdomoni , na kwamba Je huo mchanganyiko unashauriwa kiafya?

Is it recommended nutritious?
 
Back
Top Bottom