Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

Parachichi,embe
Ubuyu,stafeli ,zabibu na mafuta ya condom
Embe + parachichi + Passion
Tikiti maji + Ubuyu

Pera na ubuyu
Parachchi na maziwa
Tende na maziwa

that is nice

Nguvu za kiume

Nanasi + tango +. tangawizi + ndimu ya unga kidogo tamu sana

Embe,tikiti maji na parachichi.Wao like chocolate juice


jamani...mnaruhusiwa
waite na akina mama
 
1.Tende saga.
2.Karanga zikaange ondoa magamba Kisha saga.
3.maziwa fresh chemsha acha yapoe.

Kwa kutumia brender au kipekecho (Kama ndo jina lake) changanya mchanganyiko huu.
Tumia maziwa kutengeneza uzito au wepesi uutakao.
Hamna haja ya sukari hapo.
Hii juicy Ni balaaa halafu imekaa kitajiri mno.
Nawashauri mjaribu
Hatar sana mkuu
 
Mimi huwa sina Mchanganyiko wa Matunda maalum, kwasababu nimegundua Mchanganyiko wa aina ya Matunda yoyote yale Juisi yake inakuwa na LADHA nzuri.

Huwa nina kawaida ya kubadilisha Michanganyiko ya Matunda na kuweka kwenye BLENDER, ikishatoka Juisi yake utaipenda.

Ngoja nitoe mfano hai.

AVOCADO huwa siliwezi hata kidogo, lakini nikilichanganya na Matunda mengine na kuyasaga kwenye BLENDER, Juisi yake inakuwa na ladha tamu/nzuri sana na inakuwa nzito
 
Hii nimeipenda.
1.Tende saga.
2.Karanga zikaange ondoa magamba Kisha saga.
3.maziwa fresh chemsha acha yapoe.

Kwa kutumia brender au kipekecho (Kama ndo jina lake) changanya mchanganyiko huu.
Tumia maziwa kutengeneza uzito au wepesi uutakao.
Hamna haja ya sukari hapo.
Hii juicy Ni balaaa halafu imekaa kitajiri mno.
Nawashauri mjaribu
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom