Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,628
Karibuni akina kaka na akina dada.
Kila mtu anaweza kutoa uzoefu wake.
Ni mchanganyiko gani wa matunda huleta juice yenye ladha nzuri ambayo kila mtu anaweza kuikubali?
Sio kwa matumizi ya familia tu, hata for commercial purpose.
karibuni!

Parachichi + passion + vanila
Embe + parachichi + vanila
Embe + passion
Ndizi + papai + vanila
Embe {mbichi} + papai
Embe ng'ong'o + passion