Mchanga wa Madini Vs Posho ya kukaa bungeni

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Mimi naona ni kama zinafanana labda tofauti itakuwa ni amount tu ya kodi inayopotea. Nachukua fursa hii kumuomba Mh Rais Magufuli au amtume CAG prof Assad afanye ukaguzi kubaini kiwango cha kodi kinachopotea kwa wabunge kulipana sitting allowance, au aunde tume kuchunguza kama wabunge bado wanastahili kupata misamaha ya kodi. Endapo jeshini tax free shops zimeondolewa, wabunge kwanini waendelee kupata tax exemptions? Nawasilisha.
 
Mkuu ktk hili hicho kikundi cha vilazaz waliopo huko mjengoni wataungana na kukupinga hadi mishipa ya shingo iwatoke!
Utawasikia "umelidharau bunge!!"
Binafsi, sijawahi kuona umuhimu wao kwa taifa - bure kabisa
 
Mkuu, hiyo sentensi ya mwisho umenisemea mimi.
 
Mimi naona ni kama zinafanana labda tofauti itakuwa ni amount tu ya kodi inayopotea. Nachukua fursa hii kumuomba Mh Rais Magufuli au amtume CAG prof Assad afanye ukaguzi kubaini kiwango cha kodi kinachopotea kwa wabunge kulipana sitting allowance, au aunde tume kuchunguza kama wabunge bado wanastahili kupata misamaha ya kodi. Endapo jeshini tax free shops zimeondolewa, wabunge kwanini waendelee kupata tax exemptions? Nawasilisha.
Umefikiri sahihi,
Pamoja na uotevu huu hao hao wanatumika kutupigisha pancha kwenye mikataba,
Kwa hyo ni pancha Mara mbili
 
Back
Top Bottom