Kwa taarifa yako hata marekani mchanga wao wa copper concentrate unaenda kuchenjuliwa china. Rais anaamsha madude yenye utata ili msiwaze ahadi alizowahaidi. Endelea kusubiri smelter wakati bei za vitu zinapanda, dawa zinaadimika na thamani ya shilingi inashuka.Conclusion yao kwa nini ili-ignore fact kwamba kuna uwepo wa metals nyingine ...kwa nini haikueleza mustakabali wa metals nyingine??
Je TMAA walikuwa na utaalamu wa kiuchumi kuwa kwenye nafasi ya kuconclude kuwa na smelter haingekuwa na faida kwa uchumi ??