Mchanga Dar na miji mingine ya pwani umetoka wapi?

Bahari kufika huko..., probable..., ukizingatia hii dunia ilikuwa Pangea hapo zamani.., wewe njoo na theory yako na vivid evidences mwisho wa siku sisi wanasayansi tutakubaliana na wewe..., tofauti na Imani ya dini wanasayansi tupo fluid..., with evidence and facts basi tutakubaliana na theory yako

Pangea.jpg
 
Hii ardhi ya kichanga ipo karibu ukanda wote wanaolima minazi. Hivyo utaona mkoa wa pwani wote hadi Moro kuna ardhi ya kichanga. Na huu mchanga unafanana kwa rangi na ule wa baharini. Bahari imewahi fika huko? Kama haijawahi, mchanga ule umetokea wapi?
Kwani ni lazima utoke sehemu? Ulikuwa hapohapo toka dunia inaumbwa
 
Watu wa mikoani wanatuonea gere tu.Ni uwezo wa mwenyezi mungu tu.maana mchanga wa baharini ni vumbi haufai kujengea.
Zanzibar wana bahari lakini hawana mchanga wa kujengea.
 
Watu wa mikoani wanatuonea gere tu.Ni uwezo wa mwenyezi mungu tu.maana mchanga wa baharini ni vumbi haufai kujengea.
Zanzibar wana bahari lakini hawana mchanga wa kujengea.
Aliyesema kujenga lazima utumie cement na mchanga ni nani; watu wangeweza kutumia mazingira yao kujenga kutumia minazi, bamboo, mbao au chochote kilichopo katika mazingira yao
 
Hii ardhi ya kichanga ipo karibu ukanda wote wanaolima minazi. Hivyo utaona mkoa wa pwani wote hadi Moro kuna ardhi ya kichanga. Na huu mchanga unafanana kwa rangi na ule wa baharini. Bahari imewahi fika huko? Kama haijawahi, mchanga ule umetokea wapi?
Mkuu nenda kasome soil science. Kuna kitu kinaitwa soil texture. Udongo wa pwani ni "sandy soil" ila sio maeneo yote. Kinachokusumbua wewe unadhani kwamba ule mchanga mweupe basi ni mchanga wa bahari....hapana. Bahari haina mchanga ndio maana kuna beaches hazina sand.....hazina mchanga. Nenda lini maeneo ya Mchinga ukaone bahari imekutana na rocks. Ni mawe magumu na hakuna mchanga hata kidogo.
 
Hii ardhi ya kichanga ipo karibu ukanda wote wanaolima minazi. Hivyo utaona mkoa wa pwani wote hadi Moro kuna ardhi ya kichanga. Na huu mchanga unafanana kwa rangi na ule wa baharini. Bahari imewahi fika huko? Kama haijawahi, mchanga ule umetokea wapi?
Kichanga ndio ardhi yote ya pwani. Japo maeneo machache yapo tofauti, mfano pale Pungu mlimani. Ila ukienda Chanika full mchanga.
 
Habari wandugu, hivi mchanga katika miji ya pwani umetokea wapi? Maana unaweza kuukuta umbali wa kilomita kadhaa kutoka baharini, je bahari imewahi kufika huko?
Inaelekea bahari ilikuwa maeneo yenye mchanga.
 
Back
Top Bottom