Mchambuzi: "JF Male Politician Of The Year 2011"

Pale ambapo mtu anakosa kazi ya kufanya
Pale ambapo ukiandika sanamwisho unakosa mbinu za kuendelea
Pale ambapo akili inapo stuck na kufika mwisho
Au pale ambapo unaona kazi ya kuisaidia jamii imaeisha auhakuna lingine la kufanya

Mtu huyu kutoka sehemu Fulani analeta jambo zuri la kuliwazana kufanya watu waanglie huko!!

Inakuwa kama mko vitani au mahali Fulani mmechoka halafumnatafuta kitu cha kuwafurahisha, mngaaliana na kusema tuvute kamba! Au tukimbizekuku! Ili mradi mcheke

Ila nikiangalia jamii ya watanzania, jamii iliyokosauzalendo na akili za kupumbazwa na kufuata mkumbo, jamii ambayo wengi waohawajajitambua……nakuangalia wewe kwa jicho la pembeni..umeridhika na nini??

CCM wao chini ya Kikwete wamefanya/wanafanya haya ya kijingasana

  1. vazi la taifa
  2. sherehe ya miaka 50
  3. kuunda unda tume za kila siku
  4. na kuongea na wazee issue za madaktari

na upumbavu mwingi usioweza kuelezeka hapa!!!!

Ccm wanafanya kama viletumeishafika, tumeeendela. We are modern people living in first world..lakiniukweli ni UTOPIA tu

Mr. Superman what makes you different from those ccm acts?? Yaanitofauti ya matendo yenu na mitazamo yenu ni nini katika hili shindano

Nilikaa kimya nikitaka kujua mwisho wa shindano ili ninini?? Eti mchambuzi awe na tabia nzuri na mnaweza kumpokonya huo ubingwa!!!You have ranked people, you have categorized people.

We are all equal in JF!

Peleka hii chit chat au jukwaa la mapenzi not at this arenaof GT

You are simply the best buddy!

Duuu!! Hii inakuwa kama ile stori ya Mmasai kaingia disco na Sime pamoja na Rungu.

Du!!
Mtu akiwa radical huwa namheshimu hata kama sikubaliani naye. But this one is not "Radical"....it's simply Ridiculous!!
Kwa mara ya kwanza toka nizaliwe nime-like post ya Ritz.

Back to TOPIC.... Hongera sana MP Mchambuzi! You deserved it. In boxing we'd say "By unanimous decision..."
 
Kwa haraka haraka tu, kwanza kabisa ningependa kutumia fursa hii kuwaomba radhi kwa kutoonekana humu kwa muda mrefu, hasa katika kipindi hiki kilichojaa changamoto nyingi za kisiasa nchini kwetu, lakini kwa kutokuwepo wakati wa tuzo hii ya "Male Politician of the Year", ambayo kwa kweli ni tuzo yenye heshima kubwa sana. Superman, nakushukuru sana kwa kuja na kipima joto husika ambacho kimepelekea wadau kunipigia kura zilizonipatia ushindi. Niweke wazi tu kwamba kwa kweli nilishtushwa sana kupata habari hizi nilipofungua inbox yangu leo. Kwa kweli sidhani nastahili tuzo hii kwani kuna great thinkers wengi sana wenye uwezo na uzoefu mkubwa kupita mimi. Kwanza ni ukweli ulio wazi kwamba sina idadi kubwa ya michango ikilinganishwa na washindani wengine kama EMT na wengineo. Lakini muhimu zaidi ni kwamba mimi ni mwanachama wa chama chenye uongozi wa ovyo kabisa katika ukanda wa siasa za afrika mashariki, chama ambacho kinazidi kugharimu maisha ya watanzania siku hadi siku. Hivyo nilitegemea kwamba dhambi hii ya asili ya chama changu cha CCM ingekuwa ni kigezo tosha kabisa cha kuniengua kwenye mchakato huu katika hatua za awali kabisa.

Mimi nadhani wanaostahili ushindi wa tuzo hii ni wachangiaji wote wa jukwaa la siasa ambao wamekuwa mstari wa mbele kuonyesha uzalendo na taifa letu na uchungu wa dhati kuhusu jinsi gani baadhi ya viongozi wa CCM na serikali yake wanavyozidi kutafuna rasilimali za nchi hii bila woga wala huruma. Kwa kweli siamini kama nastahili tuzo hii kuliko wadau kama Speaker, mwanakijiji, waberoya, mtazamaji, mkandara, EMT, Mwita Maranya, Kimbunga, Mungi, na wengine wengi kwani siwezi wataja wote. Tuzo hii ni kwa wale wote walio mstari wa mbele kupingana na baadhi ya watawala wa CCM na serikali yake waliojaa dhuluma na ufisadi, bila ya kujali vyama vyetu vya siasa bali kwa imani ya Tanzania kwanza, Siasa baadae. Nina imani kubwa kabisa kwamba ushindi dhidi ya hii dhuluma na ufisadi utawadia tu, hata kama itachukua muda mrefu au hata kama baadhi yetu tutapotea kwa namna moja au nyingine. Ushindi huu ni wa lazima. Sote tunatambua kwamba JF ni moja ya nguzo muhimu sana kutupeleka katika huo ushindi.

Sababu kubwa ya kupotea kwangu humu ilitokana na ziara yangu binafsi katika maeneo mbalimbali ya nchini yetu Tanzania iliyonichukua karibia miezi miwili, lengo ikiwa ni la kujionea mwenyewe hali halisi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ndani ya nchi yetu. Kwa kweli hali za maisha ya wananchi huko vijijini ni ya kutisha na kusikitisha sana. Ni bahati mbaya tu sina simu ya kisasa yenye Internet na mambo kama hayo ambayo ingenisaidia kuwa na Internet wakato wote hovyo ‘to share' taarifa as it happens. Lakini pamoja na hayo, bado nina mengi ya ku ‘share' na nitafanya hivyo kupitia mijadala yetu mbalimbali katika siku za usoni.

Mwisho niseme tu kwamba wengi wetu humu tumekuwa na utamaduni wa kutoa mawazo na kuchangia mijadala mbalimbali bila ya kujua uhalisia wa mambo nchini kwetu, hasa huko vijijini ambapo watanzania wengi ndio wanaishi hivi sasa. Wiki kadhaa zilizopita, Kamanda Samson Mwigamba aliandika makala moja kwenye Tanzania Daima. Mwigamba alikuwa anajibu makala ya Mwanakijiji iliyosomeka "Chadema ikishindwa Arumeru, Uongozi wa Chadema Ujiuzulu". Makala zote zilijengwa na hoja zenye ustadi wa juu lakini muhimu ya yote, Mwigamba alituhimiza sana tujitahidi kutembelea ‘site'ili kujionea mambo ‘first hand' juu ya uhalisia wa maisha ya ndugu zetu kiuchumi, kisiasa na kijamii, kabla hatujajenga hoja zetu mbalimbali. Ni makala hii ya Mwigamba ndio ilizidi kunipoteza humu JF. Mwigamba ametoa hoja nzuri sana ambazo tukizifanyia kazi, hoja zetu zitakuwa na ubora wa hali ya juu zaidi, hivyo kuzidi fanya jamiiforums kuwa truly "The Home of Great Thinkers".

Asanteni sana.
 
Pongezi kwako Mchambuzi, kwani tofauti za kiitikadi si kigezo cha kupanda katika medani na heshima uliyopata, ila kiwango chako cha kuleta mada, kusimamia mada unazoleta na michango yako katika mada mbalimbali bila kupoteza mwelekeo, na papo hapo kutunza heshima yako na ya wachangiaji wengine ndivyo vigezo vilivyokupa heshima hiyo.
Uchangiaji wako haujajikita kiitikadi bali kwa hoja zenye kuakisi kiele ambacho wengi tunakubaliana huo ndio ukomavu katika majadiliano. Wengi hatukujua kama we ni wa chama gani hilo linakupa more credit katika uwanja huu wa falsafa.

Tukumbuke Mchambuzi ametufunza wengi uvumilivu katika ushirika uwanja wa habari, maana wengi huwa tunashikwa na ghadhabu ambayo inaathiri hata uchangiaji na hivyo kujikuta mtu unatoka nje ya mada na kubaki kuleta kashfa kwa wachangiaji jambo ambalo ni kinyume cha majadiliano katika mambo muhimu.
Conglatulation and keep it up man. Remember that, the more you get the more you owe.

Pendekezo kwa siku za usoni
  1. Viongozi wa JF ingefaa kuwa na ubunifu zaidi ambao utashirikisha wengi katika zoezi hilo na hivyo kuleta ushindani mzuri kama ifuatavyo:
  2. Kutuma ujumbe mfupi kwa kila mwanachama ili kujiridhisha kwamba wanachama wengi wanashiriki zoezi hilo, kwa kuwa si wote wanaopitia kila mada zinazoletwa kutokana na shughuli majukumu mbalimbali.
  3. Kuwa na muda wa kutosha wahusika kushiriki zoezi ambalo lingeweza kuchukua hata mwezi mmoja baada ya wajumbe kutumiwa jumbe za kuwaarifu kuhusu shindano hilo.
  4. Kungekuwa na timu inayopendekeza candidates kutokana na vigezo ambavyo viongozi wa JF wanaona vinafaa na papo hapo kuacha mlango wazi kwa candidates wangine wambao wajumbe wanaona wanafaa.
  5. Kura zingetumwa kwa njia ambazo vyombo vingine vya habari hutumia ambayo huwa badala ya kutumia uchangiaji jukwaani wakati wengine huweka vioja vya masikhara.
  6. Viongozi waandamizi wa JF katika shindano hilo wajulikane ili wasihusishwe kwani wengine hapa hawajui nani wako katika safu ya uongozi na nani ni nani katika safu hiyo.

Kuna mengi ambayo wajumbe wengine wangeweza kushauri ili kuboresha mtandao huu inapotokea kitu kama hicho ambacho kwa njia moja au nyingine husaidia kuwakutanisha wadau mbalimbali ili kukuza zaidi JF yetu ambayo imekuwa kama kilima cha Aleopago kilichopo kule Greece ambako lilikuwa chimbuko la vijana wengi kuwa wanafalsafa maarufu duniani kama akina Sokrates na Aristatle.
 
Mchambuzi,
Hongera sana kwa ushindi, personaly sikuwahi kufikiri kuwa na wewe ni gamba kutokana na michango yako yenye positive impact kwa watanzania wanyonge.
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa thread zako, siyo kwenye jukwaa la siasa pekee, bali hata MMU nimezisoma sana post zako, na nimejionea kuwa you real deserved 'Jf Male Politician of the year award'

congratulation brother!

Mungi
Kwa haraka haraka tu, kwanza kabisa ningependa kutumia fursa hii kuwaomba radhi kwa kutoonekana humu kwa muda mrefu, hasa katika kipindi hiki kilichojaa changamoto nyingi za kisiasa nchini kwetu, lakini kwa kutokuwepo wakati wa tuzo hii ya “Male Politician of the Year”, ambayo kwa kweli ni tuzo yenye heshima kubwa sana. Superman, nakushukuru sana kwa kuja na kipima joto husika ambacho kimepelekea wadau kunipigia kura zilizonipatia ushindi. Niweke wazi tu kwamba kwa kweli nilishtushwa sana kupata habari hizi nilipofungua inbox yangu leo. Kwa kweli sidhani nastahili tuzo hii kwani kuna great thinkers wengi sana wenye uwezo na uzoefu mkubwa kupita mimi. Kwanza ni ukweli ulio wazi kwamba sina idadi kubwa ya michango ikilinganishwa na washindani wengine kama EMT na wengineo. Lakini muhimu zaidi ni kwamba mimi ni mwanachama wa chama chenye uongozi wa ovyo kabisa katika ukanda wa siasa za afrika mashariki, chama ambacho kinazidi kugharimu maisha ya watanzania siku hadi siku. Hivyo nilitegemea kwamba dhambi hii ya asili ya chama changu cha CCM ingekuwa ni kigezo tosha kabisa cha kuniengua kwenye mchakato huu katika hatua za awali kabisa.

Mimi nadhani wanaostahili ushindi wa tuzo hii ni wachangiaji wote wa jukwaa la siasa ambao wamekuwa mstari wa mbele kuonyesha uzalendo na taifa letu na uchungu wa dhati kuhusu jinsi gani baadhi ya viongozi wa CCM na serikali yake wanavyozidi kutafuna rasilimali za nchi hii bila woga wala huruma. Kwa kweli siamini kama nastahili tuzo hii kuliko wadau kama Speaker, mwanakijiji, waberoya, mtazamaji, mkandara, EMT, Mwita Maranya, Kimbunga, Mungi, na wengine wengi kwani siwezi wataja wote. Tuzo hii ni kwa wale wote walio mstari wa mbele kupingana na baadhi ya watawala wa CCM na serikali yake waliojaa dhuluma na ufisadi, bila ya kujali vyama vyetu vya siasa bali kwa imani ya Tanzania kwanza, Siasa baadae. Nina imani kubwa kabisa kwamba ushindi dhidi ya hii dhuluma na ufisadi utawadia tu, hata kama itachukua muda mrefu au hata kama baadhi yetu tutapotea kwa namna moja au nyingine. Ushindi huu ni wa lazima. Sote tunatambua kwamba JF ni moja ya nguzo muhimu sana kutupeleka katika huo ushindi.

Sababu kubwa ya kupotea kwangu humu ilitokana na ziara yangu binafsi katika maeneo mbalimbali ya nchini yetu Tanzania iliyonichukua karibia miezi miwili, lengo ikiwa ni la kujionea mwenyewe hali halisi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ndani ya nchi yetu. Kwa kweli hali za maisha ya wananchi huko vijijini ni ya kutisha na kusikitisha sana. Ni bahati mbaya tu sina simu ya kisasa yenye Internet na mambo kama hayo ambayo ingenisaidia kuwa na Internet wakato wote hovyo ‘to share’ taarifa as it happens. Lakini pamoja na hayo, bado nina mengi ya ku ‘share’ na nitafanya hivyo kupitia mijadala yetu mbalimbali katika siku za usoni.

Mwisho niseme tu kwamba wengi wetu humu tumekuwa na utamaduni wa kutoa mawazo na kuchangia mijadala mbalimbali bila ya kujua uhalisia wa mambo nchini kwetu, hasa huko vijijini ambapo watanzania wengi ndio wanaishi hivi sasa. Wiki kadhaa zilizopita, Kamanda Samson Mwigamba aliandika makala moja kwenye Tanzania Daima. Mwigamba alikuwa anajibu makala ya Mwanakijiji iliyosomeka “Chadema ikishindwa Arumeru, Uongozi wa Chadema Ujiuzulu”. Makala zote zilijengwa na hoja zenye ustadi wa juu lakini muhimu ya yote, Mwigamba alituhimiza sana tujitahidi kutembelea ‘site’ili kujionea mambo ‘first hand’ juu ya uhalisia wa maisha ya ndugu zetu kiuchumi, kisiasa na kijamii, kabla hatujajenga hoja zetu mbalimbali. Ni makala hii ya Mwigamba ndio ilizidi kunipoteza humu JF. Mwigamba ametoa hoja nzuri sana ambazo tukizifanyia kazi, hoja zetu zitakuwa na ubora wa hali ya juu zaidi, hivyo kuzidi fanya jamiiforums kuwa truly “The Home of Great Thinkers”.

Asanteni sana.
 
Mkuu, nimeshakwambia mimi si mtu wa ligi. Sina time ya kuanza kurefer vitu vilivyojadiliwa kwa undani na kuhitimishwa shida hutaki kufanya reference za msingi nilizokwisha kukupa tayari na hadi links.

I am sorry so to say, tayari nimekuweka katika IGNORE LIST yangu and I wont bother to debate.

By the way mimi si mgeni hapa JF ingawa sikeshi jamvini. Ninachokwambia katika thread kama hizi mawazo ya wengi yameheshimiwa and that is Demokrasi. Take it or leave it. And no one has authority ya kuona mawazo ya wengine ambayo wamejadiliwa muda mrefu na kukubaliana kuwa si ya msingi simply because someone thinks yuko sahihi kuliko wengine.

Quod Erat Demonstrandum.

I am done with you! So sad to speak!

unaonyesha usipopenda kukosolewa, any way ID yako tu inatoa first insight u mtu wa aina gani..
 
Back
Top Bottom