Mchambuzi: "JF Male Politician Of The Year 2011"

Inever expected to hear this from someone I built so much respect in JF! Nooo,this cannot be true. And if it is, honestly time is changing so are peoplesmind.
2009 you was there
2010 you was there
and this is 2011

Kuna vitu nilitaka niandike hapa, lakini najizuia kwa heshima niliyojenga juuyako.

Not that I am not good in keyboard, but what u may feel, u will feel so bad.

Heshima ni kitu cha bure, so let us respect each other. Lakini kama una hoja,tushuindane kwa hoja.

kwani kutoa maoni si ni demokrasia nayo?

vitisho vya nn tena baada ya mm kutoa maoni?

usipoelezwa na mm nani atakueleza?

mm sitaki heshima humu acha kujificha kwenye hii terminology

Hujaona hoja yakujibu hapo??
 
Mkuu Waberoya mimi nakuheshimu sana, naomba uchukuwe ushauri wangu kama unapenda tundelee kuelimishana humu JF, nakuomba kwa heshima na taadhima wewe ipotezee tu hii thread, mimi binafsi nilipigwa ban kwa sababu kama zako baada ya kumkosoa huyu Superman kwenye shindano hili na alinionesha nguvu zake alizonazo hapa JF kwa kuniahidi ban na ni kweli ndani ya sekunde chache lilifanyika hilo.
Huwa sina nidhamu ya woga lakini kuna kitu behind the scene haukifahamu.
 
Hahaha,asante sana Waberoya.
 
Eeeeeh???
I think my speculation is VALID.
 
kwani kutoa maoni si ni demokrasia nayo?

vitisho vya nn tena baada ya mm kutoa maoni?

usipoelezwa na mm nani atakueleza?

mm sitaki heshima humu acha kujificha kwenye hii terminology

Hujaona hoja yakujibu hapo??

Mkuu Waberoya mimi nakuheshimu sana, naomba uchukuwe ushauri wangu kama unapenda tundelee kuelimishana humu JF, nakuomba kwa heshima na taadhima wewe ipotezee tu hii thread, mimi binafsi nilipigwa ban kwa sababu kama zako baada ya kumkosoa huyu Superman kwenye shindano hili na alinionesha nguvu zake alizonazo hapa JF kwa kuniahidi ban na ni kweli ndani ya sekunde chache lilifanyika hilo.
Huwa sina nidhamu ya woga lakini kuna kitu behind the scene haukifahamu.

Kwani tatizo liko wapi wakuu, mbona mnakua mnaoongea mafumbo fungukeni basi, ili mmsaidie Superman kama kuna sehemu alikosea ili aweze kujua wapi alipotoea kuliko mafumbo mnayoongea hapa....
 
Tatizo kubwa yeye haamini kama kuna kukubali kutokukubaliana,....
 
Akili za Waberoya ni kama Malaria Sugu! Sometimes Yes sometimes No! Mchambuzi hongera sana,unastahili na wana JF wengi wanakuheshimu sana! Bravo bro!
 
Haya ndio matatizo ya Mainginia wetu wa Bongo! Wanapenda u much know wa kupitiliza!! Sasa Waberoya ungeipotezea hii ungepoteza nini mkuu?
 
kwani kutoa maoni si ni demokrasia nayo?

vitisho vya nn tena baada ya mm kutoa maoni?

usipoelezwa na mm nani atakueleza?

mm sitaki heshima humu acha kujificha kwenye hii terminology

Hujaona hoja yakujibu hapo??

Mkuu, hata siku moja sikimbii hoja mimi. Ila si mtu wa kupenda ligi kama mtu hajui foundation. Lawama unazotoa hazina basis yoyote so to speak. take it or leave it.

I am in for it kama ni muelewa, but stick to the topic. Kwa kuanza read the thread careful, then review previous threads zilizotajwa, understand the objectives, pitia michango ya wadau ambao mengine unayoyaleta sasa ni zilipendwa kwa kuwa yalishajibiwa na kuchambuliwa. Kama bado utakuwa na hoja, let me hear you again . . .

Start there, I can argue with you, but stick on the point so that we focus.
 
Kwani tatizo liko wapi wakuu, mbona mnakua mnaoongea mafumbo fungukeni basi, ili mmsaidie Superman kama kuna sehemu alikosea ili aweze kujua wapi alipotoea kuliko mafumbo mnayoongea hapa....

sio swala la kufunguka

hili shindano childish, invalid, senseless na halina faida yeyote kwa mtu yeyote nji hii

ngau angweka upuuzi huu kwenye jukwaa la congratulation

hivi guest anajua mchambuzi ni nani? badala ya kuweka hoja ya kulijenga taifa unaweka hoja kana kwamba umeridhika na kila kitu nchi hii kiko okay!!

shindano halina akili kuanzia mwanzo..sidhani kama haieleweki hii

ila kama unajisahau kuwaza na kufikiri unaweza kuona liko okay!!
 
Mkuu, hata siku moja sikimbii hoja mimi. Ila si mtu wa kupenda ligi kama mtu hajui foundation. Lawama unazotoa hazina basis yoyote so to speak. take it or leave it.

I am in for it kama ni muelewa, but stick to the topic. Kwa kuanza read the thread careful, then review previous threads zilizotajwa, understand the objectives, pitia michango ya wadau ambao mengine unayoyaleta sasa ni zilipendwa kwa kuwa yalishajibiwa na kuchambuliwa. Kama bado utakuwa na hoja, let me hear you again . . .

Start there, I can argue with you, but stick on the point so that we focus.

Mkuu hapa sebuleni na JF ni ya watu wote...unaweka kitu kana kwamba kla mtu anamfahamu mchambuzi au waberoya...sebuleni weka nondo

chumbani kulekuna jukwaa la congrat, complain..........weka huko!

mkuu hujagundua makosa au kwa sababu wengi walikuwa wana support...??
 
Mkuu hapa sebuleni na JF ni ya watu wote...unaweka kitu kana kwamba kila mtu anamfahamu mchambuzi au waberoya...sebuleni weka nondo

chumbani kulekuna jukwaa la congrat, complain..........weka huko!

mkuu hujagundua makosa au kwa sababu wengi walikuwa wana support...??

Mkuu, nimeshakwambia mimi si mtu wa ligi. Sina time ya kuanza kurefer vitu vilivyojadiliwa kwa undani na kuhitimishwa shida hutaki kufanya reference za msingi nilizokwisha kukupa tayari na hadi links.

I am sorry so to say, tayari nimekuweka katika IGNORE LIST yangu and I wont bother to debate.

By the way mimi si mgeni hapa JF ingawa sikeshi jamvini. Ninachokwambia katika thread kama hizi mawazo ya wengi yameheshimiwa and that is Demokrasi. Take it or leave it. And no one has authority ya kuona mawazo ya wengine ambayo wamejadiliwa muda mrefu na kukubaliana kuwa si ya msingi simply because someone thinks yuko sahihi kuliko wengine.

Quod Erat Demonstrandum.

I am done with you! So sad to speak!
 
Hold on brother!!! kuwa na kifua kama Kikwete!!!! kumbuka

1. Above all, Ignore the audience -Fiske

2.
Dont pay any attention to the critics-dont even ignore them -Goldwyn

3.Another way to loose control is to ignore something when you should address it---
Jim evans

mzee unaona kabisa ukisema umeniweka kwenye ignore list yako nitaanza kulia!
 
Pale ambapo mtu anakosa kazi ya kufanya
Pale ambapo ukiandika sanamwisho unakosa mbinu za kuendelea
Pale ambapo akili inapo stuck na kufika mwisho
Au pale ambapo unaona kazi ya kuisaidia jamii imaeisha auhakuna lingine la kufanya

Mtu huyu kutoka sehemu Fulani analeta jambo zuri la kuliwazana kufanya watu waanglie huko!!

Inakuwa kama mko vitani au mahali Fulani mmechoka halafumnatafuta kitu cha kuwafurahisha, mngaaliana na kusema tuvute kamba! Au tukimbizekuku! Ili mradi mcheke

Ila nikiangalia jamii ya watanzania, jamii iliyokosauzalendo na akili za kupumbazwa na kufuata mkumbo, jamii ambayo wengi waohawajajitambua……nakuangalia wewe kwa jicho la pembeni..umeridhika na nini??

CCM wao chini ya Kikwete wamefanya/wanafanya haya ya kijingasana

  1. vazi la taifa
  2. sherehe ya miaka 50
  3. kuunda unda tume za kila siku
  4. na kuongea na wazee issue za madaktari

na upumbavu mwingi usioweza kuelezeka hapa!!!!

Ccm wanafanya kama viletumeishafika, tumeeendela. We are modern people living in first world..lakiniukweli ni UTOPIA tu

Mr. Superman what makes you different from those ccm acts?? Yaanitofauti ya matendo yenu na mitazamo yenu ni nini katika hili shindano

Nilikaa kimya nikitaka kujua mwisho wa shindano ili ninini?? Eti mchambuzi awe na tabia nzuri na mnaweza kumpokonya huo ubingwa!!!You have ranked people, you have categorized people.

We are all equal in JF!

Peleka hii chit chat au jukwaa la mapenzi not at this arenaof GT

You are simply the best buddy!
Watu wengine bana ulitegemea utakuwa wewe...hovyo.
 
Back
Top Bottom