Mchambuzi: "JF Male Politician Of The Year 2011"

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Mchakato wa Kumtafuta JF Politician Of The Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF.
Tafadhali Rejea katika uzi ufuatao ili kupata historia:

1. Kura Za Maoni: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/230046-jf-m-and-f-politician-of-the-year-2011-competition.html
2. Upigaji Kura:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/231099-jf-female-politician-of-the-year-2011-a-2.html

Tume ya Uchaguzi ya Jamiiforums JEC baada ya kupitia mchakato mzima wa uteuzi wa wagombea na upigaji wa kura imeridhika kwa kauli moja kuwa Uchaguzi ulikuwa
HURU NA WA HAKI na hivyo inatangaza kuwa:

Mchambuzi ni: JF Male Politician Of The Year - 2011 - (MP)

Kwa kuwa mhusika ametangazwa mshindi inampasa kuwa na maadili mema kipindi chote atakachokuwa amebeba title hii. Tume haitasita kumnyang'anya ushindi atakapokwenda kinyume na maadili ya JF na Tume.

Sambamba na hilo Members wa JF wanaopenda wanaruhusiwa kumwita kwa jina lake la heshima yaani:
MP-Mchambuzi.

Pia sambamba na hilo zawadi ya TZS 50,000 itatolewa kwa mshindi wetu huyu.

Kwa niaba ya wana JF wote tume inapenda Kumpongeza kwa dhati kwa ushindi alioupata.

Wote Mnakaribisha Kumpongeza
MP-Mchambuzi kwa Ushindi alioupata.

Wasalaam

Signed & Sealed:

Superman-Logo.jpg

Superman
Chairman - JEC

images
 
Jamaa alistahili kupokea hiyo tuzo, na nina uhakika yeye ni mwana CCM lakini hoja za kipuuzi kama wana CCM, nilikupa kura yangu MCHAMBUZI ingawa CCM siipendi na ninaichukia toka moyoni mwangu...
 
Hapa haujakosea,i respect him so much kwa michango yake!
Ila kwa wanawake,ume chemka sana,none of them deserved.
Taifa kwanza.
 
Pale ambapo mtu anakosa kazi ya kufanya
Pale ambapo ukiandika sanamwisho unakosa mbinu za kuendelea
Pale ambapo akili inapo stuck na kufika mwisho
Au pale ambapo unaona kazi ya kuisaidia jamii imaeisha auhakuna lingine la kufanya

Mtu huyu kutoka sehemu Fulani analeta jambo zuri la kuliwazana kufanya watu waanglie huko!!

Inakuwa kama mko vitani au mahali Fulani mmechoka halafumnatafuta kitu cha kuwafurahisha, mngaaliana na kusema tuvute kamba! Au tukimbizekuku! Ili mradi mcheke

Ila nikiangalia jamii ya watanzania, jamii iliyokosauzalendo na akili za kupumbazwa na kufuata mkumbo, jamii ambayo wengi waohawajajitambua……nakuangalia wewe kwa jicho la pembeni..umeridhika na nini??

CCM wao chini ya Kikwete wamefanya/wanafanya haya ya kijingasana

  1. vazi la taifa
  2. sherehe ya miaka 50
  3. kuunda unda tume za kila siku
  4. na kuongea na wazee issue za madaktari

na upumbavu mwingi usioweza kuelezeka hapa!!!!

Ccm wanafanya kama viletumeishafika, tumeeendela. We are modern people living in first world..lakiniukweli ni UTOPIA tu

Mr. Superman what makes you different from those ccm acts?? Yaanitofauti ya matendo yenu na mitazamo yenu ni nini katika hili shindano

Nilikaa kimya nikitaka kujua mwisho wa shindano ili ninini?? Eti mchambuzi awe na tabia nzuri na mnaweza kumpokonya huo ubingwa!!!You have ranked people, you have categorized people.

We are all equal in JF!

Peleka hii chit chat au jukwaa la mapenzi not at this arenaof GT

You are simply the best buddy!
 
Mkuu wangu wewe, inabidi ujifunze sana maana ya Demokrasia. hapa sijakosea unafikiri mimi ndo nimemweka au kapigiwa kura?

Hebu jenga hoja zako.
 
I never expected to hear this from someone I built so much respect in JF! Nooo, this cannot be true. And if it is, honestly time is changing so are peoples mind.
2009 you was there
2010 you was there
and this is 2011

Kuna vitu nilitaka niandike hapa, lakini najizuia kwa heshima niliyojenga juu yako.

Not that I am not good in keyboard, but what u may feel, u will feel so bad.

Heshima ni kitu cha bure, so let us respect each other. Lakini kama una hoja, tushuindane kwa hoja.
 
Pale ambapo mtu anakosa kazi ya kufanya
Pale ambapo ukiandika sanamwisho unakosa mbinu za kuendelea
Pale ambapo akili inapo stuck na kufika mwisho
Au pale ambapo unaona kazi ya kuisaidia jamii imaeisha auhakuna lingine la kufanya

Mtu huyu kutoka sehemu Fulani analeta jambo zuri la kuliwazana kufanya watu waanglie huko!!

Inakuwa kama mko vitani au mahali Fulani mmechoka halafumnatafuta kitu cha kuwafurahisha, mngaaliana na kusema tuvute kamba! Au tukimbizekuku! Ili mradi mcheke

Ila nikiangalia jamii ya watanzania, jamii iliyokosauzalendo na akili za kupumbazwa na kufuata mkumbo, jamii ambayo wengi waohawajajitambuanakuangalia wewe kwa jicho la pembeni..umeridhika na nini??

CCM wao chini ya Kikwete wamefanya/wanafanya haya ya kijingasana

  1. vazi la taifa
  2. sherehe ya miaka 50
  3. kuunda unda tume za kila siku
  4. na kuongea na wazee issue za madaktari

na upumbavu mwingi usioweza kuelezeka hapa!!!!

Ccm wanafanya kama viletumeishafika, tumeeendela. We are modern people living in first world..lakiniukweli ni UTOPIA tu

Mr. Superman what makes you different from those ccm acts?? Yaanitofauti ya matendo yenu na mitazamo yenu ni nini katika hili shindano

Nilikaa kimya nikitaka kujua mwisho wa shindano ili ninini?? Eti mchambuzi awe na tabia nzuri na mnaweza kumpokonya huo ubingwa!!!You have ranked people, you have categorized people.

We are all equal in JF!

Peleka hii chit chat au jukwaa la mapenzi not at this arenaof GT

You are simply the best buddy!

Duuu!! Hii inakuwa kama ile stori ya Mmasai kaingia disco na Sime pamoja na Rungu.
 
Mkuu mchambuzi hongera sana. Pia ni vizuri kama utajitokeza na kuwashukuru wapiga kura.
 
Sikufikiria mara mbili kutick jina la Mchambuzi. Nikiwa mwanamageuzi najua huyu jamaa ni mwana CCM lakini uwezo wake wa kupanga na kujenga hoja umekua unanifurahisha sana. Hongera ndugu Mchambuzi!
 
Hapa haujakosea,i respect him so much kwa michango yake!
Ila kwa wanawake,ume chemka sana,none of them deserved.
Taifa kwanza.

Huo nao ni mtizamo binafsi.amekosea sana kwa wanawake kivipi?si wote wamechaguliwa kwa kura? au huyu alipigiwa kura tofauti na wale wengine? Sauti ya wengi ndio sauti ya umma.Umma wa JF umepiga kura na wala sio supamani aliyepiga kura.
 
Mkuu Mwenyekiti/mods naomba tuchague thread moja bora ya FPoY na moja bora ya MPoY ili ziwe sticky kwa muda wa miezi miwili ikiwa ni sehemu kuwaenzi na kushangilia ushindi wao. Pia tusimsahau overall winner. Tuwe nazo tatu kwa ajili ya hao washindi wetu wa mwaka 2011.

Kwa FPoY napendekeza ile thread ya itikadi.
Ni maoni yangu tu.
 
Nakupongeza Mchambizi na nilikupigia kura ingawa sikipendi chama chako CCM hadi kufa! Mwaka huu wakati ukishika taji jitahidi basi kujali utaifa mbele badala ya chama chako kuweka mbele, walau hii itakufanya uwe umelitendea haki taji lako.!
 
Mkuu Mwenyekiti/mods naomba tuchague thread moja bora ya FPoY na moja bora ya MPoY ili ziwe sticky kwa muda wa miezi miwili ikiwa ni sehemu kuwaenzi na kushangilia ushindi wao. Pia tusimsahau overall winner. Tuwe nazo tatu kwa ajili ya hao washindi wetu wa mwaka 2011.

Kwa FPoY napendekeza ile thread ya itikadi.
Ni maoni yangu tu.

sikioni kitufe cha LIKE, lakini naunga mkono hoja yako
 
Back
Top Bottom