Mchakato wa Naibu Spika wa Bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchakato wa Naibu Spika wa Bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kichwa Ngumu, Nov 12, 2010.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wana JF nipo kijiji kupiitia JF nimejua kuwa Anna Makinda ndio Ki-speaker, Mchakato wa Naiba spika Ukoje?

  Nawakilisha
   
 2. mbuvu

  mbuvu Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nadhani bado wanachukua form.
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Salma Kiwete amechukua form
   
 4. F

  Fanfa JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ridhiwani Pia Kachukua form na nyumba ndogo ya KJ imechukua form. Mwaka huu balaa
   
Loading...