Naomba kujua au kupata mwongozo wa kuandka kitabu A to Z

Jay10

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
680
512
Wadau na wazoefu ktk uandishi wa vitabu mbalimbali Naomba kujua au kupata mwongozo wa kuandka kitabu A to Z (mwanzo had mwisho wa mchakato)........

Asanteni xanaaaa........
 
Cha kwanza lazima uwe na mada/theme/script.. Yani content ya kitabu chako lazima uwe nayo kabla hujaanza kuandika.. Mengine yatafuata
 
Asante...... Ningetaman kupta guidelines za uandish had hatua ya mwsho ya publication.......
Cha kwanza lazima uwe na mada/theme/script.. Yani content ya kitabu chako lazima uwe nayo kabla hujaanza kuandika.. Mengine yatafuata
 
Kazi itakuwia ngumu kwakua hujasomea uandishi lakini kwakukusaidia nitafute nikuandikie ubaki na kazi ya kupublish tu.... Maana taaluma ya uandishi ni pana kuna theor ya 5W+H au inverted pyramids hapo kukuelezea kwa maandishi humu huwezi kuelewa.
 
Kuna watu wasio na taaluma hyo na bado wanaandika...... Inakuaje

ni sawa sawa na mwenye pesa kuwa na nyumba hali ya kuwa si mjenzi...ukiandikiwa kitabu hakuondoi haki ya wewe kukimiliki...unaoona wameandika vitabu na hawana taaluma wengi wao wanatoa idea kwa wajuzi...kisha wanapewa kazi zao...kuandika si kazi ndogo. Kwamba bila kufundishwa kwa kina huwezi...na itakubidi usome zaidi ya miezi 6. Ili upate kuandika kitabu ueleweke
 
Tafuta kitabu kizuri ukipendacho kisha kisome mtiririko wake utapata idea ya kuandika cha kwake.
 
Hapo unamfundisha afanye plagiarism.
Ahaahahaaa we jamaa una maelezo mazur lakin kama Mwamba Ngoma hiv................ Anyways kuna jamaa zang nawafaham nimemaliza nao chuo ambao wameandika vitab vyao wenyewe (nahakika) na hawajasomea chochote juu ya uandshi...... japo sijawaaproach wanipe guidance.......
 
nakutakia kila lakheri Mkuu ....
 
Ahaahahaaa we jamaa una maelezo mazur lakin kama Mwamba Ngoma hiv................ Anyways kuna jamaa zang nawafaham nimemaliza nao chuo ambao wameandika vitab vyao wenyewe (nahakika) na hawajasomea chochote juu ya uandshi...... japo sijawaaproach wanipe guidance.......
Au mkuu waliandika biography tu.
 
mm nmeandika nataka niprint, nmeandika historia yangu kwa ujumla..hadi mahusiano kabla ya kuoa. Hapa nina maandishi ambayo nimeandika kwa mtiririko wa research ila bado sijawapelekea wataalamu wa kuseti na kuprint kitabu. Ningeprinti ningekurushia sample nilivoandika, kuna mtiririko ambao mm nmeona unafaa wala si kwa kuzingatia mengine.
cha msingi uwe na;
1. theme/ unataka kuandika kuhusu nini?
2. ndani unataka kuhusisha watu gani, vitu gani nk
3. unachokiandika kiwe kina ujumbe ulioulenga, usiandike tu ili mradi
4. unaandika kwa ajili ya biashara ama wewe mwenyewe? (mm naprinti najisomea mwenyewe na ndg wanaopenda). km ni kibiashara basi fuata mtiririko mzuri
5. tupe maoni, ushauri, na mafunzo humo ndani ya uandishi
6. table of content
7. shukrani/washukuru wote waliokusaidia ktk uandishi mfano jamii forum hapa ulipo leta uzi, walioprint, ndg jamaa na rafik nk
8. tahadhari/ weka tahadhari ili kujua kitabu chako kimezingatia maadili na tamaduni za kitanzania kitumike kwa wote
9. mwisho fafanua vifupisho vya maneno uliyotumia ndani ya uandishi
10. kuwa mtulivu sana ufanyapo uandishi, usiwawaze akina sepetu na hipsi za kuchonga:D:D

nikutakie kila laheri, watakuja waandishi wakuelekeze kwa mtiririko mzuri sasa:cool::cool::cool:
 
Nashukuru mkuu........... Hapa JF pia watu wamekaa ki*business xanaa hata kwa maelekezo machache...... Khaaa
 
Umejitahidi kutoa ufafanuzi
 
Kama una title tayari anza kuandaa chapters. Kila chapter iwe na wazo kuu inazungumzia.Ukianza kuandika bila kuandaa chapters itakusumbua sana. Ni huyo ushauri wangu.

Kupublish unaweza pia kupublish bure amazon.
 
Shukuraniiii
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom