Mchakato wa Katiba Mpya ya Tanzania wapotea njia au uko sahihi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchakato wa Katiba Mpya ya Tanzania wapotea njia au uko sahihi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Aug 16, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [​IMG] Huku joto la mabadiliko ya katiba likiwa chini upande wa Tanzania Bara, upande wa Zanzibar wananchi wengi wanajitokeza kwenye Tume ya Kukusanya Maoni wakitaka muundo tafauti ya Muungano na hata wengine kutaka uvunjwe.
  Rais wa Zanzibar, Ali Mohammed Shein (kulia), na Makamo wake wa Kwanza, Seif Sharif Hamad.

  Katika makala hii ya Mapamzuko, Mohammed Abdul-Rahman anaangalia ikiwa mchakato wa katiba mpya nchini Tanzania upo kwenye njia sahihi au umeingia kwahala siko. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama za spika za masikioni hapo chini.
  Makala: Mapamzuko Afrika
  Mada: Katiba Mpya Tanzania
  Mtayarishaji: Mohammed Abdul-Rahman
  Mhariri: Mohammed Khelef

  [h=4]Sauti na Vidio Kuhusu Mada[/h]
  [h=2]Katika makala hii ya Mapamzuko, Mohammed Abdul-Rahman anaangalia ikiwa mchakato wa katiba mpya nchini Tanzania upo kwenye njia sahihi au umeingia kwahala siko.[/h]Bonyeza Uskilize
  AUDIO | DW.DE
   
Loading...