Mchakato wa katiba mpya ya jamuhuri ya muungano wa tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchakato wa katiba mpya ya jamuhuri ya muungano wa tanzania.

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Nalonga, Dec 21, 2010.

 1. N

  Nalonga JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ndugu wanajamii hivi sasa tupo katika mchakato wakasi kubwa kulilia Katiba Mpya kwa ajiri ya Jamuhuri yetu ya Muungano,sasa basi wakati wanasiasa wetu wanapasha moto makoo yao tayari kwa kwenda kulipuka mjengoni kuhusu katiba Mpya,Je kati ya sisi watanzania takriban milioni 40 sasa,ni wangapi wanajua Mapungufu ya katiba ya zamani,(ya mwaka 1977),na nini tunachohitaji kibadilike katika hayo maandiko?au ni wanajamuhuri asilimia ngapi wanajua hata hiyo katiba inafananaje?ili tuonapo wanasiasa wetu wanaipigia debe hayo maandiko yabadilike tujue kwamba ni kweli wanalilia andiko la kutuwezesha wanajamuhuri wote tufaidi hili limkate la Jamuhuri yetu ili tuweze kuwapa sapoti inayotakiwa?Naomba kuwasilisha.:thinking::thinking::thinking:
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Bado tunameza madongo ya wikileaks kwanza. teh teh
   
 3. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huna haja ya kuijua hii katiba ya sasa, inatosha tu kujua mengi ya hadha unazokabiliana nazo ni matunda yake.
   
Loading...