SUPERUSER
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 960
- 304
Habari wadau,
Mchkato ndo huo! umeanza tar 4 October hadi tar 5 November. Ni rahisi sana, unachotakiwa ni kujaza form tu naku submit then unasubiria.KITU CHA KUZINGATIA NI KWENYE PICHA...UNATAKIWA KUSUBMIT PICHA AMBAYO UKIISCAN SIZE INAKUA 600 BY 600 PIXELS...AU UKIENDA PHOTO POINT WAAMBIE PICHA YA GREECARD WATAELEWA.....KAZI KWAKO WEBSITE YA KUJAZA FORM HII HAPA: https://www.dvlottery.state.gov