Mchakato wa diversity visa lottery umeanza: Kwa waotaka visa ya kuishi us

SUPERUSER

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
960
304
Habari wadau,

Mchkato ndo huo! umeanza tar 4 October hadi tar 5 November. Ni rahisi sana, unachotakiwa ni kujaza form tu naku submit then unasubiria.KITU CHA KUZINGATIA NI KWENYE PICHA...UNATAKIWA KUSUBMIT PICHA AMBAYO UKIISCAN SIZE INAKUA 600 BY 600 PIXELS...AU UKIENDA PHOTO POINT WAAMBIE PICHA YA GREECARD WATAELEWA.....KAZI KWAKO WEBSITE YA KUJAZA FORM HII HAPA: https://www.dvlottery.state.gov
 
habari wadau,

mchkato ndo huo! Umeanza tar 4 october hadi tar 5 november. Ni rahisi sana, unachotakiwa ni kujaza form tu naku submit then unasubiria.kitu cha kuzingatia ni kwenye picha...unatakiwa kusubmit picha ambayo ukiiscan size inakua 600 by 600 pixels...au ukienda photo point waambie picha ya greecard wataelewa.....kazi kwako website ya kujaza form hii hapa: https://www.dvlottery.state.gov


hi photo point iko wapi mkuu?? Wacha tujaribu
 
Back
Top Bottom