Mchakato wa chama cha Democratic wa kumtoa Rais Donald Trump madarakani

Ndani ya senate kuna republicans 53 na democrats 47, wengi wape. Hiyo tofauti ya wajumbe sita ndio itakayoamua hatima ya DT.
Nikurekebishe mkuu.Republicans wako 53,Democrats 45 na Independents 2.Sasa Trump akilogwa tu Repulicans 7 waka-form caucas na Democrats na Indepents amekwisha.Tusubiri Jumatano kura itakapo pigwa kwenye Baraza la Senate.
 
Ndani ya senate kuna republicans 53 na democrats 47, wengi wape. Hiyo tofauti ya wajumbe sita ndio itakayoamua hatima ya DT.
Hapana wako Democrats 45 na Independents 2
Republicans 53
Ili wamtoe Trump wanahitaji watu 67 maana yake wanahitaji Republicans 20 ili Trump aondolewe.... hadi sasa hakuna Republican atakaye kubali Trump atoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote uchumi wa USA ukiwa imara kwa mujibu wa takwimu ni vigumu kumtoa madarakani rais.

Sera za democratic party za kupenda vitu vya bure huwa na gharama kwani kodi ni lazima iwe kubwa ili hizo bure ziweze kutimizwa.

Bepari anataka kodi iwe ndogo ili faida iwe kubwa, sera za democrats zina aina fulani ya ujamaa ndani yake.
 
Mimi siko upande wowote mkuu,nimetoa taarifa kama ilivyo.Democrats na Republicans wote ni watoto wa mama mmoja,hawana tofauti,labda kwa wadanganyika.
Nukuu.
Ujari alioa nao Trump ni sawa kabisa na wavuta bange.Ni Rais wa Marekani ambaye hajawahi kuonekana katika historia ya nchi hiyo.What he has brought with him is anarchy for America and the rest of the World..

Mkuu mbona una ndimi 2?.

ukweli ni kwamba moyoni mwako DT anakutesa sana.

ni mtazamo wangu tu.

Hanitesi mimi tu,hata wewe anakutesa mkuu,si beberu huyo,sasa beberu asikutese,labda kama hujitambui.
 
Unajaribu kuwa neutral lakini hisia zinakushinda.

hisia kuzificha ni mtihani kweli kweli..
wewe ni shabiki wa demo ila hapa una-act kuwa neutral..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona hata Democrats ni mabeberu?Republicans na Democrats ni watoto wa baba na mama mmoja mkuu,kama ulikuwa hujui.
 
Back
Top Bottom